Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

Toy za watoto...
Kama hizo na zingine...
Mnazuia for a year tu
Kwa hiyo kwa lugha rahisi unasema uue baadhi ya biashara za Watu. Toy zenyewe zinatumia dola kiasi gani, sidhani kama zina impact yeyote kwenye upungufu wa dola. Gusa bidhaa nyingine nzito nzito uone moto wake
 
Mbona tuli ban importing vifaranga?
Biashara yeyote inaweza zuiwa kutokana na mazingira yanayo sababisha Hali fulani
 
Uchaguzi unakaribia, wajanja wanatafuta kila njia waweze kupata pesa za uchaguzi kwa njia yoyote. Waagizaji mafuta ni wafanyabiashara, hili la kuitaka serikali itoe hizo pesa linakujaje?
Swala lingine sio dola kupanda, swala ni thamani ya shilingi kushuka.
Tuna nini cha kuuza pesa yetu iwe na thamani kama moja ya mambo mengine tumeruhusu mindege itue na kuondoka Loliondo bila habari?
 
Back
Top Bottom