bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
- Thread starter
- #21
Very good umejibu vizuriKwani kuna sehem Mungu alisema harusi ziwe za gharama, pombe nyingi, hotel kali, sijui sare, honey moon mwende visiwani, maharusi wanataka zawad ya kiwanja tena siku hizi wengine wanasema hata msafara wa magari ni aina fulani tu kama ni Benz basi hakuna aina tofauti na benzi. Kwanini ndoa zisifungwe bila gharama au gharama ibebwe na mhusika mwenyewe?