mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,911
- 5,326
Tetesi za hapa mjini zinasema eti Mbowe anamsubiri Chidi Benz atoke jela na Manji awachukue Chadema....yaani hiki chama toka watoke watu makini kimekuwa cha ubabaishaji sana...Mbowe unaua chama chako kujaza wabwia unga na machangu.