inaonekana we Dada ni mtaalamu wa maombi...vipi unapatikana wapi nije unifanyie maombi..Maana na mimi nina wanawake wawili wananisumbua..niko dilemma na mimiMkuu maombi ndio msema kweli.aacha kufanya nao wote uzinzi aingie kwenye maombi hakuna namna
inaonekana we Dada ni mtaalamu wa maombi...vipi unapatikana wapi nije unifanyie maombi..Maana na mimi nina wanawake wawili wananisumbua..niko dilemma na mimi
ouuh receivedWanawake wengi mnatutesa kwasababu kwenu ndoa ni objective hivyo mtafanya kila kitu ili muweze ku meet hiyo objective. Irrespective nani anakuuoa nyinyi ni twende kazi so long as ndoa ipo. Shida inaanza pale baada ya kuolewa unaanza kuona ulifanya makosa au unapata mawazo mapya, kwa kweli mnatusumbua. Ndoa inakua si ndoa, shida kila kukicha. Nakusikitikia kwa kweli manake unaelekea kwenda kufanya maamuzi mabaya kama vile nakuona.
nataka nije hilo kanisa lako sasaPole sana.nenda church utakutana na baba au mama wa kiroho atakusaidia.
Na nyie muwe mnatuliaga bhana aaaa.kwani ukiwa na mwanamke au mwanaume mmoja mtaishiwa maji mwilini??????
nataka nije hilo kanisa lako sasa
aaaah mengine yapi sasa mkuu....nna nia nzuri tuUsifuate mkumbo.nenda kanisani kwako inatosha.labda kama unamengine mkuuu
Mi nitajuaje sasa??aaaah mengine yapi sasa mkuu....nna nia nzuri tu
sina nia mbaya, mi ni mwanakondoo mtiifu kabisaMi nitajuaje sasa??
Fyuuuu
Sawa kondoo.haya mda wa kulala huu ingia zizinisina nia mbaya, mi ni mwanakondoo mtiifu kabisa
Mmh yani nakuomba msaada unanifanyia hivi...duuh poa mkuuSawa kondoo.haya mda wa kulala huu ingia zizini
Mmh yani nakuomba msaada unanifanyia hivi...duuh poa mkuu
Utajali kuweka vyeti na CV zaoili kuepuka kupewa ushauri hewa?Hello family!!!
Imefahamika kwamba wanaume ndo wanachagua mtu wa kuishi naye ndoa
Pia kumbe hata wanawake pia yatupasa kujua ni mwanaume gani anaweza kukufaaa na mkaishi kama mume na mke wa baadae!! Sasa ninao wawili na woote wanasifa nmeshindwa nimchague nani!?
Please help nifanyeje nipo dailema!!!?? Japokuwa mmoja hajawahi niambia ila anaonyesha nia tu and mwingine alishawahi niambia na ndo nina muda nae mrefuu sana ila mpaka sasa hakuna kinachoendelea so as a human being am tired