Msema mkweli mpenzi wa MUNGUNaomba elimu zaidi KWA WALE AMBAO WALIKUWA NA MADENI YA NYUMA YALIYOAMBATANA NA PENALT YATAKUWA NAYO YAMELIWA NA 1ST JULY.
AU NI LAZIMA YALIPWE?
Wewe naona nakuelewa!Sheria inaanza kutumika tar moja julai 2017. Deni la nyuma ya hapo lipo palepale sema tu halitaongezeka wala kuwa na riba. Kwenye TIN yako limewekwa tayari ingawa kuendesha gari utaendesha ila deni ulilokuwa nalo halitafutwa kwa kuwa lilikuwepo kwa mujibu wa sheria iliyopo
HaaaaaaSamehe kama serikali ilivyosamehe makosa yetu. Mimi nimeuza gari iliyokuwa na deni la miaka miwili (nilkuwa silitumii) na deni tukakatana kwenye hela ya mauzo unafikiri najisikiaje hapa.
Na aliyemjibu taahira msaidizi naye taahira mwenza,, upo hapo?Hahaaaa akiuliza taahiraa na aliejibu nae taahira msaidizi mpwa hujuii hio..jiongeeze
Hakika utakuwa unajisikia vibayaSamehe kama serikali ilivyosamehe makosa yetu. Mimi nimeuza gari iliyokuwa na deni la miaka miwili (nilkuwa silitumii) na deni tukakatana kwenye hela ya mauzo unafikiri najisikiaje hapa.
Kama deni ni la road license hawawezi kudai tena maaana yote yatakuwa yamefutwa na adhabu zakeMsema mkweli mpenzi wa MUNGU
KAMA TIN ULIITUMIA KWENYE LESENI NDIO ULIOTUMIA KWENYE GARI YAKO..JIANDAE SIKU UNA RENEW LESENI...HAIKWEPEKI..ITAKACHOKUSAIDIA KAMA MWAKAN NDIO INA EXP INAKUPA MDA KUKUSANYA DENILAO..KUNA WATU WAMESHINDWA KURENEW KABISA LESENI SABABU WANAANGALIA DENI KWANZA
SAME TO UR BUSSINESS KAMA ULITUMIA TIN HIOHIO SIKU UNAENDA KUOMBA LESENI AMA KURENEW ITASOMA BALANCE .NA MJUAVYO AKUNA LESENI INATOKA MPAKA MMALIZANE NA FORM ZA TRA.NDIPO MIMBA INAPOZALIWA...WAMESOGEZA MDA WAKULIPA DENI TU ELSE LITALIPIKA AUTOMATIC
Bajeti haijapitishwa nadhani hadi J3 hata hivyo huo msamaha ni kwa yele magari ambayo haya tembeiJamani,
Mimi nime-renew Motor Vehicle license yangu wiki moja kabla ya bajeti kusomwa, tena ni shs. 230,000/=.
Sasa bajeti imesomwa nasikia kwamba kuanzia July 01, 2017 hazitafanya kazi. Maana yake nimeingia hasara.
Je, nitarudishiwa hela yagu nikienda TRA.
Nasema ni hasara kwa sababu wengi ambao renewals zao ni mwezi huu bada ya kusikia bajeti wako radhi kuweka magari nyumbani hadi July 01.
Mimi nilikata kwa sababu tu expiry ilikuwa wiki moja kabla ya bajeti.
Saidia kupata jibu na haki yangu.
HahahaSamehe kama serikali ilivyosamehe makosa yetu. Mimi nimeuza gari iliyokuwa na deni la miaka miwili (nilkuwa silitumii) na deni tukakatana kwenye hela ya mauzo unafikiri najisikiaje hapa.
mkuu hii miandishi yako ya rangi kama upo madarasa ya awali,kuwa muungwana acha kutuumiza macho na huu utoto unaoufanya,ukute wewe ni jitu zima kabisa na una hadi wajukuu!
Jamani,
Mimi nime-renew Motor Vehicle license yangu wiki moja kabla ya bajeti kusomwa, tena ni shs. 230,000/=.
Sasa bajeti imesomwa nasikia kwamba kuanzia July 01, 2017 hazitafanya kazi. Maana yake nimeingia hasara.
Je, nitarudishiwa hela yagu nikienda TRA.
Nasema ni hasara kwa sababu wengi ambao renewals zao ni mwezi huu bada ya kusikia bajeti wako radhi kuweka magari nyumbani hadi July 01.
Mimi nilikata kwa sababu tu expiry ilikuwa wiki moja kabla ya bajeti.
Saidia kupata jibu na haki yangu.
hahaaa bora were m nilipopata yapili nikaweka uwani naona nianze na service year 28/29 nibadili pump maana n petrol..30 June niwekw betri mpya alafu tar sabasaba ndio nalitoa mpwa na nyuma naandika MV Mpango..shukraniKAMA UNADAIWA MADENI YA NYUMA SERIKALI IMESHASEMA IMESAMEHE MADENI YOTE C UNAONA SIKU ILE WABUNGE MIXA MISAMBA KWNYE VITI WALIVYOFURAHI MKOKO WANGU NILIUPAKI ULISHAANZA KUOTA MCHICHA NDANI KWENYE SITI

Mungu ambariki amechangia watoto wawili adaJirani yangu jana ameenda kulipa hiyo tozo kwa lengo la kusafiri na gari lake Jumatatu, amerudi nyumbani atazame bunge la bajeti anakutana na taarifa RL imefutwa