Nimesalitiwa, naomba ushauri

Anko nimeeka hii story cuz ts true story in.ma life u know huyo gush alikua dem angu lkn ckuwahi mgusa ngozi ta sku moja ila nlishangaa ananambia shez preg na nkaona kweli n after all akatoa hiyo mimba but anasema still ananipenda asa ndo nauliza kama ni wewe unachkua action gani
Tatizo watoto wamekuwa wengi humu siku hizi.
 
kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushauri Mimi ni kijana nilie ingia katika mahusiano na msichana mmoja ambae katika mahusian yetu hatukuwai kukutana kimwili tangu tuanzishe mahusiano lakini lakushangaza mwenzangu alinambia anamimba na anataka akatoe ili aendelee na shule na bado anadai kuwa ananipenda sasa sijui ananipenda kweli au ndo anataka kuniua
Ni kweli anakupenda sana ndio maana kakuambia ukweli la sivyo angekupa siku moja tu tena kimoja kisha ukauziwa kesi ....mpende ila kumbuka huyo sio dadaako hivyo jitahidi kama kidume
 
Ukiwa na uhusiano na mwanamke jitahid umfanye usipo fanya wenzako watamfanya hata km anakupenda ww ila atafanywa usirudie tena sikunyngine kumwacha demu anzsha mahusiano mengne huyo achana nae na mwambie live sio mwaminifu
Km hutaki kufanya mpaka ndoa usiingie kwenye mahusiano
 
Kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushauri.

Mimi ni kijana niliyeingia katika mahusiano na msichana mmoja ambae katika mahusiano yetu hatukuwai kukutana kimwili tangu tuanzishe mahusiano lakini lakushangaza mwenzangu alinambia anamimba na anataka akatoe ili aendelee na shule na bado anadai kuwa ananipenda sasa sijui ananipenda kweli au ndo anataka kuniua.


............................Eusebius Erneus kwanza nianze kwa kukusalimu na kukupa pole.Mosi,umeingia kwenye mahusiano na mwanafunzi tena mtoto wa kike,hilo ni kosa.Pili mwanafunzi huyo ana mimba iwe au isiwe yako,hilo nalo neno.Tatu,kutoa mimba ni kosa kubwa sana. Si tuu kisheria bali pia kwa imani yeyote ile kwani unakuwa umeua,Nne ukishiriki kutoa mimba unaweza sababisha kifo kwa huyo mwanafunzi au kumsababishia kilema cha maisha kwa kukosa mtoto.Hivyo nakushauri uachana mapema na huyo binti,tena usije kuacha ushahidi kuwa wewe ulishawahi kuwa mpenzi wake kwani anaweza kutumia ushahidi huo kukutuhumu kuwa wewe ndiye uliyempa ujauzito huo.

Unaweza kuona ni mzaha lakini kuwa makini,kuishi kwingi ni kuona mengi,tafakari kuchukua hatua,pole sana
 
Hivi nyie watoto wa Maghembe na Shukuru Kawambwa mna matatizo gani katika bongo zenu?
 
Mtoa hoja nimetafuta nilitaka kukupa dole la LIKE lakini kitufe sikioni ila chukua dole la kati.
 
Kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushauri.

Mimi ni kijana niliyeingia katika mahusiano na msichana mmoja ambae katika mahusiano yetu hatukuwai kukutana kimwili tangu tuanzishe mahusiano lakini lakushangaza mwenzangu alinambia anamimba na anataka akatoe ili aendelee na shule na bado anadai kuwa ananipenda sasa sijui ananipenda kweli au ndo anataka kuniua.
Hivi hii JF huwa hakuna kizuizi kwa watoto kujiunga !! Huyu anasema hajawahi kutana kimwili na binti, halafu anasema binti huyo ana mimba, halafu anaomba ushauri kuhusu nini cha kufanya. Mimi nakushauri umuoe. Mwezi wa sita ufike haraka, TCRA wafunge hizi simu fake.
 
Back
Top Bottom