Nimepigwa kibuti

What goes around just come around..Tulia kimya umeze maumivu yako binafsi kwani namjua pia anaye kula mke wako wewe tuu ndio hujui utakuwa the last one to know pole sana.

:painkiller::painkiller:
 
kumbe we mwanaume ,nimekuwa nikidanganyika na hiyo picha na kukutamani.....yarabi toba ,natema mate chini yasinikute!
 
Jamani demu wangu (mke wa mtu) kanipigia kibuti nami ni mume wa mtu. Ila huyo dada yuko na mwanaume mwingine. Naona wivu sana sababu bado nampenda sana. Mimi nimeamua kumwambia mume wake kwamba mkewe yuko na jamaa. Mnasemaje jamani mwenzenu naumia.

ficha ujinga wako usifiche hekima yako, sijui nimepatia
 
Back
Top Bottom