Nimepigwa 'kibuti' na kuniblock

Duuuh ngumu kumeza hii..siwezi kabisa ndugu yangu.nimejikabidhi kwake mwili na roho nampenda too much labda ndo maana ananifanyia hivi au kudeka tu sielewi.

mkuu hata huko si ataniblock pia,inauma sana

Mkuu you're so weak! Hapo kuna possibilities mbili...moja..anakupima mbili amegundua bila yeye hufurukuti!!

BTW wanaume huwaga hatulalaki ka watoto wa kike, hizo tunaita ni "red flags" sasa we ng'aa sharubu tuu
 
Du nikaushe au?
 
Hivi mapenzi kwanini yanakuwa magumu hivi.. Mimi nimenuniwa bila sababu ya msingi wala secondary masaa mawili nabembeleza bila muafaka khaaaaaaaaà
Na wewe umeamua kuingilia thread ya mwenzio
 
Nimekua na MANZI kwa kipindi fulani,kilichotokea baada ya kuongea kwa dk kadhaa akaamua kuniblock kwenye FB,TWITTER na WHATAPP nataman nimbembeleze ila napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?

Nampenda ni masaa 36hrs. yamepita namiss sana alikua ananikeep busy kwa kweli.
Ameona huna lolote amechoshwa na pointless zako sasa afanyeje? Hahaha ushamkera ujue
 
napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?
Siku hizi simu haziendi nchi Jirani?? Watu mmekuwa wavivu kufikiria, sasa suala la kukublock we si ndo unaweza kujua chanzo au jf kuna mtu anajua?? Ni haki akublock
 
kwan ulizaliwa nae maisha yasumbue na mapenzi yasumbue piga chini deal na kutafuta pesa mdau wanawake wako tele ata tukioa kumikumi bado kuna wanawake wengi tu watabaki bila ya kuolewa la muhimu pambana na maisha usipambane na mapenzi
 
Nimekua na MANZI kwa kipindi fulani,kilichotokea baada ya kuongea kwa dk kadhaa akaamua kuniblock kwenye FB,TWITTER na WHATAPP nataman nimbembeleze ila napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?

Nampenda ni masaa 36hrs. yamepita namiss sana alikua ananikeep busy kwa kweli.

MKUU
WEKA PICHA TAFADHALI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom