Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,822
Ahahahahaha hivi huyu binti hapatikani kule jalalani??
Hahahahahaahahaaa umeamua kunifatilia hadi huku? Soon nakulipua akiyanani.
Kule jalalani hatuna class hizi aisee, kule ni next level na ni classified level 8, sasa imagine the secrecy's that exist in. Kule licha ya hali tete aliyosababisha Mkulu lakini watu wanaendeleza mziki as if tupo heaven. Mwezi ujao tunapabadili jina patakuwa panaitwa Heaven Sent.