Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

Oct 27, 2024
7
55
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
 
Nakushauri jitolee utakua umeongeza kitu kwenye CV yako, ila fursa za ajira zikitoka usiache kujaribu bahati yako.
 
Nenda ujitolee hapo shuleni maana nimeona hapo kwenye maelezo yako Wamesema watakugharamia chakula na mavazi, obvious na sehemu ya Kulala.

Kuliko kuendelea kukaa Mtaani bila mishe, vyema uende huko ukapige kazi, jambo ambalo litaongeza kitu kwenye CV yako.

Ushauri wangu, nenda ukafanye kazi Kwa Ari, ubunifu na moyo Mkuu.

Zingatia maadili, sio kutamani Wanafunzi wa kike tu
 
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
Chukua fursa na itendee haki,ajira ni janga la kidunia,nashauri na ni mtazamo wangu kuliko kuwa chawa kuwa volunteer utaishi maisha mazuri na ya heshima na yenye mchango chanya kwako,kwa jamii na kwa taifa.Kuliko uchawa ambao ni utumwa ambao unapelekea mtu kutumika vyovyote kwa uovu,kwa utumwa amavyinginevyo ili atulize njaa ama tu kwa uvivu wa kufikiri ama wa kufanya kazi ilhali anayo afya njema,anzao nguvu na hata utaalamu wa kuisaidia jamii ili nayo jamii imwezeshe kujiwezesha mwenyewe.
 
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
Mtaani hauna ishu yoyote nenda kajitolee huko utapata na connections....
 
Ukiona shule wanakuambia ujitolee basi Mara nyingi financial hawapo vzr.

Kazi ya ualimu haitaji uwe na uzoefu mkubwa ili kuifanya isipokuwa kuwa na moyo wa kujitoa.

Binafsi nakushauri hata ukiendelea kujitolea jaribu pia kuwa unatafuta green pastures .

Na uzuri kila kitu tunatumia simu so utakuwa unaendelea kufatilia huku na kule.
 
Jitahidi kutafuta kazi mwisho wa mwaka ajira za ualimu ni nyingi mkuu,ila ukikosa nenda kajitolee
Kumbe hawezi ku-apply kazi kisha akaenda pia kujitolea taasisi nyengine?

Maana akisema asubiri aajiriwe huenda isiwe bahati yake na kule alikoitwa kujitolea nafasi wakampa mtu mwingine akakosa kote
 
Mtembea bure si Sawa na mkaa bure
Nenda mkuu " utapata na mawazo mazuri walimu huwa wanajuana na watu wengi

Wakati namaliza Chuo zilitoka kazi za" operators" kwenye mgodi mmoja hv authorized kabsa na kigezo kikaja one year experience in "especially in mixing, preparation, separation of the chemicals conducted in process of purifying the gold" nikapata hiyo
Sababu nilijitolea kwenye "elution plant" moja hvi karbu mwaka mzima na huwezi amini kazi yangu nilikuwa nalipwa 50k boss kwa mwez ya kujitolea (wale wakawa wa referees wangu kule kwny mgodi ilikua ni re-newing Contract each year after termination of the contract

so nenda mzee

Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
 
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
Tafuta kimtahi lima bustani ya mchicha ni wiki mbili unavuna, anza kumwagilia kwa keni siyo mpka mashine pambana ukajitolee kwani ulisoma ili uje ujitolee tena kaz yenyewe uwalimu ufundishe syllabus iishe, utoe mtihani usahihishe, utoke quizzes usahihishe kazi zote hizo unalipwa kula na kulala sas unatofaut gani ni mfungwa? It's better the smaller income of yourself than the luxury life in disguise
 
Nenda, kuna jamaa yangu aliambiwaga hivyo hivyo akawa anapewa nauli ilipofika mwezi wa kwanza wakampa mkataba, Saiz ni makamu mkuu wa shule
 
Katika makosa niliyowahi fanya nilipomaliza chuo, ni kutochangamkia fursa zilizokuwa zinapita mbele yangu. Ukiacha hii ikakukupita baada ya miezi miwili unaweza kuja na uzi wa majuto hapa. Kuna muda inafikia utahitaji sehemu ya kwenda kuzuga tu ili mtu usikae ndani. Kijana umeipata usicheze nayo. Kapige kazi ila usisahau kutafuta mchongo wa maana ukiwa unajitolea.
 
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani achepq

Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
Ninaona kama elimu uliyoipata haijakusaidia katika kujikwamua na maamuzi ya msingi.
Jambo dogo kama hilo lisingeweza kukutatiza hadi kupelekea kukodi majeshi ya msaada.

Kwani kukaa nyumbani bila kufanya kazi, kunafanya energy zako mwilini zisitumike?

Kama unawaza kukaa nyumbani na kubania energy kuna faida, basi kaa nyumbani, mambo ya kujitolea tolea hayo yatakumalizia energy zako bure.
 
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini.

Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography).

Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya private wamenambia nikajitolee kwa muda wa miezi minne (January hadi April 2025) Kisha watakuwa Wana screen utendaji wangu wa kazi kiasi kwamba kama tawalizisha watanipa mkataba.

Pia, katika wito wao huu, wamenambia Katika kipindi chote hiki Cha kujitolea Chakula na malazi vitakuwa juu yao (it's boarding school).

Wakuu hapa nipo dilemma, mana mtaani Sina Kazi yoyote zaidi ya kushinda na Saka vibarua visivyo onekana , wakuu naomba msaada wa mawazo juu ya hii fursa mana na hofu isijekuwa wanataka Kuni consume tu Kwa muda Kisha wani ache.
Nilichogundua katika maelezo yako.
Akili yako ime focus zaid katika suala la kuajiriwa kuliko kutafuta fursa zingine tofauti na ajira.
Kitaa kina fursa nyingi Sana ila ni wachache wenye uwezo wa kuzitumia, kila uchwao Kuna watu kitaani jua linawawakia na wengine wanazidi kustawi hapo tofauti inakuja katika swala la mitizamo na kuchangamkia fursa.
One of the worst ever mistake I made in my life ni kujitolea Tena enzi zile maafisa elimu wanapita mashuleni kuchukua majina ya waliojitolea ili wapewe kipaumbele kwenye ajira za 2020 guess what, Hadi sasa Nina mwaka wa saba Niko mtaani (Chem & bios).
Kilichoniokoa nilifanya maamuz magumu nikapiga chini kujitolea baada ya kukosa ajira, japo Kuna watu walinishauri niwe na subira lakini niliamini zaidi katika njia zangu.
Hadi sasa japo sijatoboa kimaisha ila angalau familia yangu inaishi vizuri na huenda labda nisingejitolea ningekuwa nipo mbali kidogo.
Wangu ni ushauri ila fuata nn moyo wako unapenda, huenda huna muelekeo kimaisha sawa lakini akili yako haijafika mwisho kiasi kwamba umeshindwa kuziona fursa, ila ni kwamba hujaamua kuzitumia vyema.
 
Back
Top Bottom