hulia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 225
- 230
Ubungo ni total mess kwa kweli last time niliingia hapo usiku kupokea mzigo mwaka 2014 ilikua tabu tupu mpk upate basi lilipopaki hakuna vielekezi vyovyote vinapoonesha mabasi yanayotoka sehemu fulani yanapaki hapa ni fujo tupu na usipokua makini ndo mwanzo wa kuibiwa