Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
2Point sana npe namb yako?
2Point sana npe namb yako?
Oa kwanza kisha ushauri tutakupa baadaye.kwa sababu n shida na dawa ya shida ni wewe kumuoa oa baba.tena na sherehe ifanyie hapo hapo mlima bar.nawatakieni ndoa njema yenye misukosuko ma dhoruba ya hapa na pale kama mvua za dar zisivyotabirika.N mtoto amemaliza form 4, mama yake alimsomesha mwenyewe baba yake alimkataa kisa rangi na miaka 18 anasema ni mwaka wa 4 yupo mzigoni hapo ni shida tu zinamfanya afanye hivyo namuonea huruma future yake inapotea na kupoteza utu wake.
Nimemuuliza nikimuoa nikamuweka ndani je atatulia akanijibu ndio anataka nimsomeshe sasa wazee mnanishaurije nijitoe sadaka? Na je ni kweli mtu aliepitia hayo mapito anaweza kutulia ndani.
Je hawezi kukumbushia? Je malaika wa uzinzi hawezi kumuandama maana yake nimeplan nimwamishe huku ambako wateja wake wanaishi nikajilie vyangu mbali taratibu kwa uhuru bila kufuta mdomo na kupepesa macho nani ananiona.
Karibuni wanajamvi sina marafiki mtaani zaidi yenu.
Umeokota dodo mwanangu. Huyo ni proffesional na hayo ni maisha tu, some niggas done crazier stuffs...N mtoto amemaliza form 4, mama yake alimsomesha mwenyewe baba yake alimkataa kisa rangi na miaka 18 anasema ni mwaka wa 4 yupo mzigoni hapo ni shida tu zinamfanya afanye hivyo namuonea huruma future yake inapotea na kupoteza utu wake.