Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,456
- 9,890
Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story
Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa mbali saana ila cha kushangaza wazazi wote ni wasukuma (inatokea sana hii mwanza na shinyanga)
Nikimtongoza akakataa mara ya kwanza lkn siku moja alikua na shida akanitafuta nikamuelekeza geton kwangu akaijia hela. Weekend ilofuata alinitunuku tunda yeye mwenyewe. Kuanzia hapo tukawa wapenzi.
Sasa bwana yule binti ile anataka kumaliza mwaka wa mwisho si nikagundua ana mimba. Akamaliza mimba ikiwa na miezi miwili, moja kwa moja hakurudi kwao akawa anakaa kwangu akawadanganya wazazi wake amepata internship na anakaa kwa rafiki yake sababu huko kwao ni nje ya mji.
Bwana bwana, mimba ikazidi kukua na nikaongea na mshikaji wangu mmoja akasema bora nisurrender tu nimpeleke kwao akalelee ile mimba kule.
Nikajitoa akili nikamlazimisha binti japo alikua anaogopa sana. Tukaenda kwao wanashangaa kumuona na kitumbo ila kizuri tulienda na gari binafsi,gari haikua yangu ilikua ya huyo mchizi wangu. Tukaingia pale sisi tumevaa smart kama tunaenda kutoa posa vile na binti kavaa nguo nzuri tu zile za wamama wajawazito.
Tukakaribishwa, yule mshikaji wangu ndo akawa kama wakili wangu (ofcourse jamaa ni wakili by proffession) kwa hio akasimulia msala wote pale ila kwa akili sana. Tukawaahidi wazazi wa binti kwamba binti akijifungua mm nitakuja kutoa mahali ndo nimchukue yy na mtoto. Walizingua sana ila wakawa hawana jinsi, tukatoa vihela kdg pale tukasepa zetu.
Sasa binti si akajifungua kakaa pale hadi mtoto akawa na miezi 7 kuelekea 8 hv wazazj wake wakaanza kunisumbua nimuijie. Basi nikajua wanataka mahari tu, nikajipanga na jamaa yangu tukaenda.
Aisee ile tumefika pale yule mzee si akasema eti mahari na faini tulipe millioni 15 na ng'ombe wawili. Hapo bado zawadi za mama mkwe. Tukaandikiwa nakumbuka ngoma ili-net 20m plus
Ikabidi tuombe faragha mm na jamaa yangu tukadiscuss. Nikaenda pembeni nikamwambia yule jamaa yangu akae kimya nitacheza hilo goma langu mwenyewe.
Nikarudi nikawakalisha wale wazazi kitako mbele ya binti yao, nikaanza kuwauliza maswali.
Hivi nyinyi huyu binti kipindi anasoma mnajua nani alikua anawasaidia kutatua shida zake ndgndg?
Nakumbuka alishawah kuzuiliwa kufanya mtihani sababu ya malipo fln ila mm nikalipia, mnajua ile hela nilitoa wp?
Mnaona anatumua simu nzuri anapendeza mnadhan alikua anafanya kazi? Hayo yote nilikua nahudumia mm.
Kuna kipindi alikua anampelekea mama ake zawadi akitoka hostel, nikawauliza hio hela ya zawadi alizokua anawaletea mnajua aliitoa wap kama sio kwangu? Kwanza hapo mjadala wa zawadi za mama mkwe ukawa umemalizwa.?
Niliongea sana lakini nilibargain na wale wazee hadi millioni 1 na ng'ombe mmoja. Wakwe zangu hadi leo hawana hamu na mm, na wananiogopa balaa.
Vijana jisimamieni, utoe mahari kubwa bado umehudumia na unaenda kuendelea kuhudumia. Na kama umeshamzalisha huyo binti hata aftatu inatosha sababu wazazi wake walishindwa kumpa malezi mazuri.