game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,607
- 24,325
Kuna mambo matatu yanahusika hapo.
1.emotions.
2.mazingira
3.hormones,
Unaweza kujiepusha na huo mtego kwa kudhibiti mojawapo kati ya hayo. Raisi zaidi ni kudhibiti hizo emotions zako,
Then epuka hayo mazingira kabisa kama unatabia ya kupita hiyo njia iache from today,
Vinginevyo hiyo dhambi inakunyemelea, uwezo wa kuiepuka unao kwa kufanya nlivyokushauri,
Believe me ukijipeleka kwa huyo kichaa hata Mara moja tu Lazima mimba iingie, na hapo ndipo utaanguka rasmi. keep my word