FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,885 43,773 May 12, 2016 #1 Nadhani kwa nyuma imeandikwa "Julius Kambarage Nyerere, Tanzania". Sijui palikuwa ni wapi hapa.
Mtumzima Senior Member Sep 10, 2008 158 111 May 12, 2016 #2 Mkutano wa kufungua kampeni za ugombea Urais 1995...Ben Mkapa...Jangwani Dar es salaam
as1987 JF-Expert Member Jan 3, 2013 1,256 597 May 12, 2016 #3 peleka makumbusho ya Taifa..wanaitafuta
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,638 12,061 May 12, 2016 #4 FRANCIS DA DON said: Nadhani kwa nyuma imeandikwa "Julius Kambarage Nyerere, Tanzania". Sijui palikuwa ni wapi hapa. View attachment 346855 View attachment 346856 Click to expand...
FRANCIS DA DON said: Nadhani kwa nyuma imeandikwa "Julius Kambarage Nyerere, Tanzania". Sijui palikuwa ni wapi hapa. View attachment 346855 View attachment 346856 Click to expand...
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 May 12, 2016 #5 FRANCIS DA DON said: Nadhani kwa nyuma imeandikwa "Julius Kambarage Nyerere, Tanzania". Sijui palikuwa ni wapi hapa. View attachment 346855 View attachment 346856 Click to expand... Mbona maandishi yako clear halafu wewe unadhani eti.
FRANCIS DA DON said: Nadhani kwa nyuma imeandikwa "Julius Kambarage Nyerere, Tanzania". Sijui palikuwa ni wapi hapa. View attachment 346855 View attachment 346856 Click to expand... Mbona maandishi yako clear halafu wewe unadhani eti.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,885 43,773 May 12, 2016 Thread starter #7 Totos Boss said: Unauza? Click to expand... Vipi unaitaka?
Kabembe JF-Expert Member Feb 11, 2009 2,548 1,744 May 12, 2016 #8 Hiyo ilikuwa wakati wa kampeni 1995 pale Jangwani.
Shaycas JF-Expert Member Feb 13, 2009 906 110 May 12, 2016 #9 Raimundo said: Mbona maandishi yako clear halafu wewe unadhani eti. Click to expand... Huenda hajui kusoma ila anaona.
Raimundo said: Mbona maandishi yako clear halafu wewe unadhani eti. Click to expand... Huenda hajui kusoma ila anaona.
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 12, 2016 #10 FRANCIS DA DON said: Vipi unaitaka? Click to expand... No kama huuzi nikushauri peleka makumbusho
strong ruler JF-Expert Member Nov 2, 2013 4,921 3,305 May 12, 2016 #11 Mkuu ipeleke makumbusho pale, ama iweke sebulen kwako hapo ama sebuleni kwenu!
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,885 43,773 May 12, 2016 Thread starter #12 strong ruler said: Mkuu ipeleke makumbusho pale, ama iweke sebulen kwako hapo ama sebuleni kwenu! Click to expand... 100 years to come itakuwa pale bado nikiipeleka?
strong ruler said: Mkuu ipeleke makumbusho pale, ama iweke sebulen kwako hapo ama sebuleni kwenu! Click to expand... 100 years to come itakuwa pale bado nikiipeleka?