Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

Inaonekana uliwahi kuoa kabla ya kujua ulimwengu ulivyo.

Mpe mkeo break ili upate uwanja wa kutanua...........
Nimeoa nikiwa na miaka 33 baada ya kuona kuna umuhimu wa kuanzisha familia. Jiulize kati ya mika 18-32 nilikuwa nafanya nini?
 
Nimeoa nikiwa na miaka 33 baada ya kuona kuna umuhimu wa kuanzisha familia. Jiulize kati ya mika 18-32 nilikuwa nafanya nini?
33? walau wewe ulikuwa na muda wa kutosha..........kuoa below 30 ni haraka zisizokuwa na msingi.
 
Wanaume!!! Wanaume!!! Wanaumeeeee!!!mweee!!!

~Hivi kwa nn unaroho ya kikatili namna hiyo?Unampenda mkeo kweli??masikin dada wa watuu !!!

~Hv nikuulize kitu vp yy ndo angekuwa anajiuza hata kwa siri tuu na usijue ungejisikiaje?

~Na unang'ang'a nia kabisa makahaba eti usinishaur kuacha kutoka nje ya ndoa!!kwelii??na unaona ina faa km kichwa cha familia??

~Namuhurumia mkeo na Mungu amsaidie ili akuombee hadi ubadilike maana si ww ni pepo ndani yako.

Kweli ww ni jaribu na kila mti na jaribu lake.
 
Ndo maana napenda wanaume wacha mungu mtu anaemjua Mungu hawez kufanya uchafu wa aina hii
Dada angu kwa sasa hicho Siyo kigezo huyu Unaweza mkuta Jpili au Jmossi yupo kanisani na Bible na suti Lakini ucku yupo uwanja wa fisi Wanaojiita wacha MUNGU siku hizi ndo Mashetani wakubwa Omba MUNGU akupatie mwanamme mwenye hofu ya MUNGU ndani yake
 
Mkuu hilo tatizo sio wew tu ni wengi yaani mimi kila nikiona mwanamke mwenye mkia (tako) nawaza kumkwich kwich hata awe mkubwa kanipita miaka 10 sijui nina pepo au ni kujiendekeza tu kuhusu wa Kununua hao hata siwezi kuhesabu
Kweli si nyie ni mapepo na roho chafu za ngono ndani yenu.kwanza kubalin kuikataa hiyo hali mnayojisikia,wenyewe ndan ya nafsi zenu

~penden kubadilika na kuhitaji msaada wa Mungu yy ni mwaminifu atawasaidia. lkn mukiweka uzio hamta okoka kutoka ktk hizo tabia mbaya
 
uzuri wa wanaojiuzi ni umakini wa kutumia kondom tu baasi...ila hawa wa mtaani utatumia siku moja yapili utasiki...baby huniamni...damn!!
 
Back
Top Bottom