Nimenunua Unga wa sembe kilo 5 kwa Tsh 8500/= sawa na Tsh 1700/= kwa kilo. Je hii ndio bei au nimepigwa?

Hapo mkuu umepunguziwa kilo mbona 1800/= watu tulishasema bashe azuie nafaka kutoka nje tulinyeshewa mvua ya mawe kwamba wakulima wanajipatia faida kama hatukulima tutajijuwa wenyewe.
Nakifiri na mimi nilihusika kwenye kuonyesha mvua ya mawe. Na kwa sasa nafurahi kuona machinga wa vyombo vya kichina wameondolewa barabarani lakini wachoma mahindi bado wanapiga kazi
 
Back
Top Bottom