Nimenunua Hisense mpya Ila sometimes volume inajishusha yenyewe mpaka 0

Kuna uzi mmoja ulikuwa unazunguka humu ukizungumzia hatari ya kununua Hisense TV fake kwa bei ya original yule jamaa nilimuelewa sana.

Though yeye kwa maelezo yake alikuja kununua used ambayo soko lake siyo la Africa but alisema TV nyingi bongo madukani wamechanganya original kidogo na ronya zipo so wakiona mteja ni mjanja wanamtolea OG kama mbulula anabebeshwa mchina aliyechangamka
 
Wakuu Msaada pls,nimenunua hisense dukani..nakuja home nimenotice kila baada ya muda flani sauti inajishusha mpk 0..na pia kuna kaujumbe kanaanzia na REVERT..nsipobonyeza any button Tv inajizima na kurestart .

Msaada Pls..

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa
"Revert" maana yake silimu. Inakupa ujumbe uwe Muislam. Haitaki utazame mambo ya ufuska.
 
Kuna uzi mmoja ulikuwa unazunguka humu ukizungumzia hatari ya kununua Hisense TV fake kwa bei ya original yule jamaa nilimuelewa sana.

Though yeye kwa maelezo yake alikuja kununua used ambayo soko lake siyo la Africa but alisema TV nyingi bongo madukani wamechanganya original kidogo na ronya zipo so wakiona mteja ni mjanja wanamtolea OG kama mbulula anabebeshwa mchina aliyechangamka
Dah OG na fake utazijuaje mkuu ili na sisi kama tukiwa tayari tusiingizwe mkenge
 
Kuna uzi mmoja ulikuwa unazunguka humu ukizungumzia hatari ya kununua Hisense TV fake kwa bei ya original yule jamaa nilimuelewa sana.

Though yeye kwa maelezo yake alikuja kununua used ambayo soko lake siyo la Africa but alisema TV nyingi bongo madukani wamechanganya original kidogo na ronya zipo so wakiona mteja ni mjanja wanamtolea OG kama mbulula anabebeshwa mchina aliyechangamka
Nilisikia ukitaka uijue org unaingiza model number inakuletea taarifa zake..Kwani mfano ikiwa Feki ukiingza model number haileti taarifa?na je,model number naipata wapi..au ile nayoandkiwa ktk receipt?maana nahis wanawz andika model number ambyo ni genuine katka receipt kumbe ipo tofauti na ya Tv.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
"Revert" maana yake silimu. Inakupa ujumbe uwe Muislam. Haitaki utazame mambo ya ufuska.
20230906_063230.jpg
 
Sasa hivi Hisense fake ni nyingi mno. Inahitaji akili ya ziada kubaini. Kama hutaki rabsha nenda j mall kuna duka la Hisense hao ndo super dealers. Ila kama una haraka ya kupigwa nenda kkoo fasta uweke turubai msiba mwaka nzima
 
  • Thanks
Reactions: Vcf
Back
Top Bottom