Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

Bolotoba

JF-Expert Member
Apr 24, 2024
4,153
9,545
Wakuu, poleni na pilika

Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja,
Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶

👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa

Sasa, mara huwa nina mwimbia Ile nyimbo ya "jirani "(wakonge mnaifahamu hiyo nyimbo)
Siku nilipomwambia haina maana kunyimana nashangaa hanisalimii

Ila ni yeye ndio anajiweka kimtego na anajua kabisa mimi ni bachelor

Kosa langu liko wapi kumwimbia

"haina maana kunyimana" 🥶
 
Mitego yote hiyo anakutega alafu wewe unamwambia ni kitu kimoja ndiyo nini sasa,
Nunua mazaga ya maana muombe akusaidie kupika geto uone anasemaje alafu unamaliza mchezo
 
Haha nawaza hapa kama akitokea jirani wa kiume akakuimbia hiyo nyimbo " haina maana kunyimana" - sijui utahama hiyo nyumba

Hapa umeweza kuelewa kwa nini huyo dada kakununia
 
Wakuu, poleni na pilika

Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja,
Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶

👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa

Sasa, mara huwa nina mwimbia Ile nyimbo ya "jirani "(wakonge mnaifahamu hiyo nyimbo)
Siku nilipomwambia haina maana kunyimana nashangaa hanisalimii

Ila ni yeye ndio anajiweka kimtego na anajua kabisa mimi ni bachelor

Kosa langu liko wapi kumwimbia

"haina maana kunyimana" 🥶
Acha uhuni, huo ni uhuni tu.
 
Haha nawaza hapa kama akitokea jirani wa kiume akakuimbia hiyo nyimbo " haina maana kunyimana" - sijui utahama hiyo nyumba

Hapa umeweza kuelewa kwa nini huyo dada kakununia
Sasa mkuu jirani wa kiume kuimba hivo hiyo si kutaka kick boxing
 
FB_IMG_17415223304034513.jpg
 
Yaan hata mm yaliwahi kunikuta mtoto ananiangalia hasa mpaka nahisi aibu siku nkamueleza kuwa nmemuelewa sio kununa huko
Ila kumbe ananipenda nayeye

Wewe mkazie ndyo walivyo mwsho lazma akubali tuu
Ila ulikosea huenda umemuanza vibaya wee ongeanaye Kwa ukubwa sio kimzahamzaha
 
Back
Top Bottom