Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

Huyo ndio baba mwenye nyumba mkuu! Amejishushia heshima sana kwa huyo dada wa kazi. Pili, kama ulivyosema hapo juu, amemsababishia kosa lingine dada wa watu kusema uongo kwa mkewe...
ila wake zetu nao wawe wanawaambia nguo gani za kuvaa chumbani na zipi za kuvaa kwenye sehemu zingine
 
Ndg.yangu tunza maneno yangu"hutoishia hapo"kama story hii ni ya kweli.Ibilisi Wa mtu ni mtu mwenyewe.
 
Pumbavu sana wewe,ndo mana miujiza haishuki kanisani..dhambi za makusudi hazisamehewi eti theluji,unyanyasaji kazini kwa watoto wa kike...
 
Kutubu Dhambi Yapasa Useme Mbele Ya Kanisa Kwamba Umemtekenya Huyo Binti Ndio Kutubu Huko Je Ulifanya??
 
hilo ni la msingi sana natafuta muda muafaka wa kumuomba msamaha

Ulitakiwa uweke sawa kwanza mambo yako na dada wa kazi kisha utubu dhambi yako. Sasa na yeye si itabidi amuombe msamaha mkeo kwa kuwa alimdanganya kwamba aliteleza wakati ulimtekenya?
 
Ndg.yangu tunza maneno yangu"hutoishia hapo"kama story hii ni ya kweli.Ibilisi Wa mtu ni mtu mwenyewe.
hapana sasa nitakuwa na sura ya kazi tu kwanza ni kumuomba msamaha na kurudisha heshima yangu kama baba
Pumbavu sana wewe,ndo mana miujiza haishuki kanisani..dhambi za makusudi hazisamehewi eti theluji,unyanyasaji kazini kwa watoto wa kike...
kua huyaone kuna wadada wakazi ni changamoto kuishi nao nyumba moja
 
Kutubu Dhambi Yapasa Useme Mbele Ya Kanisa Kwamba Umemtekenya Huyo Binti Ndio Kutubu Huko Je Ulifanya??
hapana hiyo wanayo RC wanaita kuungama mbele ya padri sisi kkkt hatuitaji hiyo ni wewe na Mungu wako
 
hapana sasa nitakuwa na sura ya kazi tu kwanza ni kumuomba msamaha na kurudisha heshima yangu kama baba

kua huyaone kuna wadada wakazi ni changamoto kuishi nao nyumba moja
Ficha upumbavu wako ndugu tena unae mke huoni aibu!wewe ni jipu kwa mkeo
 
Yelee uwiiiiii kula mate kaka huyo anataka kitu hadi kufikia kumdanganya mama yoyoo ujue anakukubali mpe dudu washa lako.
 
Udhalilishaji wa kijinsia.

Matumizi mabaya ya madaraka.

Kukosa uaminifu katika ndoa.

Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.

Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.

Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.

Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.

Kutoa siri za nyumbani JF.

Kutangazisha ubaradhuli JF.

Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.

Makosa yote hayo unayo.

Mkuu hivi wanasayansi wana msamiati wa dhambi au makosa ya kimaadili...kwenye makamusi yao.

Nauliza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom