Nimempenda Barmaid

Si afadhali wewe umempenda muuza bar, mimi nimeangukia kwa changudoa ana hekima kwangu ni balaa, sijawahi ona toka nianze kuwa teja wa machangudoa miaka kama kumi na tano hivi iliyopita. Huyu mrembo nimekutana nae Moshi kwenye bar moja hivi inapiga mziki live kila ijumaa. Kwa kweli damu zimekutana. Nimefanya upelelezi wa kutosha. Ila sina namna imebidi nimuache tu ila bado anazidi kuniheshimu. Nikitokea tu anaaacha upuuzi wake anaungana nami kwenye kiti, na sio kwamba ananichuna bali nae huchangia bili. Ni mwezi wa sita sasa toka tufahamiane. Ni binti wa miaka 24.
Kwanini umemuacha sasa?
 
Weka picha nikushauri.
Hiyo apo
1466336682680.jpg
 
Wadau,

Jumapili iliyopita niliamua niende bar moja hapa maeneo ya Kimara Korogwe, kwasababu situmii pombe, niliagiza grand malt ya baridi nikawa nainywa, katika bar hii kuna mfanyakazi mmoja mzuri anasura ya upole sijawahi ona, nimetokea kumpenda balaa.

Haiba yake haifanani na mazingira niliyompata yani ni mpole never meet before, mweupe, kaumbika ana zigo kiasi! Wiki lote linaisha lazima nipitie hii bar nikitoka kazini, naombeni ushauri nifanyeje,maana nampenda sana.
Kwani Wana tatizo gani hao wanawake wanaouza bia?!
 
Mtoa mada unaomba ushauri wa mazingira aliyopo uyo chura ama kuhudhuria kwene iyo bar?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom