bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,426
- 9,837
Wewe wasema, Ila najua wewe ni wale machalii wakusindikiza wakusindikiza.....!!We sio chalii ya chuga wewe.....unaleta udere tu hapa
Wewe wasema, Ila najua wewe ni wale machalii wakusindikiza wakusindikiza.....!!We sio chalii ya chuga wewe.....unaleta udere tu hapa
hahahahaahha hii mada hii kuna kutoana ngeu hapaMachalii mingi ya chuga inavunga masela OG kumbe makachako tuu
Aaaahhh kaushia tu man kila kitu dweee tu yaanChuga kunao Mvua hadi Watu tunaota Mvua badala ya Jua. Mbishe haziendi chalaangu.
We chalii una comments za kisoro sana.....ngoja nivunge tu dere wewe.Wewe wasema, Ila najua wewe ni wale machalii wakusindikiza wakusindikiza.....!!
Aaahh wapi ww machalii A city tukisimama lazima nchi ikae kimyahahahahaahha hii mada hii kuna kutoana ngeu hapa
Ainaaa kweree buda hawaa wachumba wa dar hawawez zinguaa maana n wanaume km mashory budaHahaha ukiona machalii wa disim wanakuzingua jooohhh nipigie mluzi tu chalii
Yule boya wa dism yule, A city hatumbweli na vidume dizain ile sisiivi yule jamaaa aliyeolewaga mbele tetesi ni alitokea chuga yule jamaa ivi ni kweli?
Aina kwere man,chuga pande gan mkali?We erooo vipi yaan
Nipo dism kwa masoro hapaAina kwere man,chuga pande gan mkali?
Wanabongaje masharo au bado wanashkilia milege isidondokeNipo dism kwa masoro hapa
Watu wa mikoani ni wazuri sana kwa kutukana nafikiri haya ni matokeo ya kushinda na ng'ombe pamoja na jembe ila kosa sio lako ni kosa la wazazi wako kukuzalia kijijini usifanye hilo kosa tena kwa mtoto wako mpe fursa ya kuzaliwa mjini ili asiwe na akili kama zakoAaaahhh acha upang'ang'a wa kisoro we mtoto wa kike