Tena nyeto la kutoa chozi la furahaLucas Mwashambwa ameachwa sasa n mwendo wa nyeto tuu, bado chawa wa mbowe miss Erythrocyte
Kikubwa alikukulaNimekuwa nikidate na mkaka mmoja kwa mda wa mwezi, asa jana nikasema ngojea nimpeleleze maana alinitia shaka ana point nyepesi nyepesi mlugaluga. Hakuna mtu anataka kudate mwanaume kama zezeta. Nikaingia mzigoni kwenye social media, lahaullah!! Nilichokiona uko kimenishangaza. Kumbe kaka ni chawa wa mama Samia, masaa 24 yupo online kutetea upuuzi na point zake nyepesi nyepesi.
Nilivyoona hivyo sijataka kusikia kutoka kwake nikamblock kwenye simu, whatsapp na sehemu zote. Sitaki ujinga. Ndo maana yupo kama zezete kumbe chawa!!
JF Ina madume dada wengi sana usishangae wanapenda kuchokolewa POAmmh huyu mwanaume bwana
Hua naona comments zake mleta mada hua zimekaza sana mkuu...🤣Duh hiii I'd kitambo najua ya mwanaume kumbe je
Pole dear lakini ugali si analeta nyumbani?
khaah,,bora wanawake kujifanya wanaume ila sio wanaume kujifanya wanawakeJF Ina madume dada wengi sana usishangae wanapenda kuchokolewa POA
Waambie hao na tabia za kuchokolewa mpaka Bungeni wanapigia kelele waache madume dada hayasikiikhaah,,bora wanawake kujifanya wanaume ila sio wanaume kujifanya wanawake
Umenionaje?Mbona ghafla hivyo! Tushawahi kuonana wapi? Naona una kanzu mpya!
Kama amani ipo mimi sina tatizo kabisaUmenionaje?
Amani tele Mkuu wala usihofuKama amani ipo mimi sina tatizo kabisa
Karibu!
😆😆😆😆SawaWaambie hao na tabia za kuchokolewa mpaka Bungeni wanapigia kelele waache madume dada hayasikii
Avetar ya dume