Nimekuwa nikidate na mkaka mmoja kwa mda wa mwezi, asa jana nikasema ngojea nimpeleleze maana alinitia shaka ana point nyepesi nyepesi mlugaluga. Hakuna mtu anataka kudate mwanaume kama zezeta. Nikaingia mzigoni kwenye social media, lahaullah!! Nilichokiona uko kimenishangaza. Kumbe kaka ni chawa wa mama Samia, masaa 24 yupo online kutetea upuuzi na point zake nyepesi nyepesi.
Nilivyoona hivyo sijataka kusikia kutoka kwake nikamblock kwenye simu, whatsapp na sehemu zote. Sitaki ujinga. Ndo maana yupo kama zezete kumbe chawa!!
Nilivyoona hivyo sijataka kusikia kutoka kwake nikamblock kwenye simu, whatsapp na sehemu zote. Sitaki ujinga. Ndo maana yupo kama zezete kumbe chawa!!