Nimekupenda kutoka moyoni...

Akili,macho na masikio ndiyo vyanzo vikubwa katika swala zima la kupenda baada ya viungo hivyo kusikia ama kuona vinapeleka signal kwenye akili na akili inatuma signal kwenye moyo...Ndiyo maana ukimuona msichana uliekuwa unampenda sana ama unamuwaza sana ghafla lazima mapigo ya moyo yabadilike yapaige kwa kasi sasa hapo ni akili imetuma signal kwenye moyo...
Mkuu naomba unifahamishe akili ni nini?.

Ni kwa njia gani hizo akili upeleka taarifa kwenye moyo?.

Ni part hipi ya moyo inapokea hizo signal na kuzitafsiri kama upendo?.
 
Mkuu naomba unifahamishe akili ni nini?.

Ni kwa njia gani hizo akili upeleka taarifa kwenye moyo?.

Ni part hipi ya moyo inapokea hizo signal na kuzitafsiri kama upendo?.
Mkuu Akili tuseme ni Control center ya mwili inapeleka taarifa kwenye viungo vyote vya mwili na kupokea taarifa kutoka kwenye viungo hivyo vya mwili( ndiyo nilipotaja mfano macho, masikio) na akili hu-analyse taarifa hizo kwa msaada wa neurons..Turudi kwenye point yetu mtu amwonapo mtu na kumpenda mwili huzalisha adrenaline mingi sana inayopelekea kubalika kwa mapigo ya moyo nadhani utakuwa umeona jinsi moyo unavyohusika na kupokea taarifa kutoka kwenye akili hapo..
 
Unajua kuwa moyo unaweza kutolewa mwilini mwako na ukarudishwa na ukaendelea kuishi? Kwahio roho hapo inatoka halafu inarudi na moyo?!
Du maswali ambayo munauliza ckutegemea da majibu yakipatikana Moyo wangu utatulia
 
Unajua kuwa moyo unaweza kutolewa mwilini mwako na ukarudishwa na ukaendelea kuishi? Kwahio roho hapo inatoka halafu inarudi na moyo?!
Roho na moyo ni vitu viwili tofauti...

Ngoja wataalamu watatusaidia zaidi hapo
 
Nimekupata vyema mkuu je kumbe watu huwa wanakosea wanaposema umeniumiza Moyo wangu ulishawahi kukwazika ukasikia kama mapgo ya moyo yanabadirika na mood in change? Je moyo huumia ama?
Hao wanaosema kuwa umeniumiza moyo wangu wapo sawa hata wanaosema umeiumiza roho yangu pia wapo sawa. Hata atakaesema umeniumiza ubongo wangu pia yupo sawa. Kwasababu hisia ya mapenzi huviunganisha hivyo vitu vitatu ndio maana, ukiona mtu kaachwa mara hufanya mambo ya ajabu kutokana ubongo umezidiwa na hisia za mapenzi. Moyo hupiga kwa kasi au kuna wengine hupata presha hii pia moyo umepata mshtuko wa hisia ya mapenzi. Na roho hapa huanza kuyachukia maisha kutokana na kukosa hisia za mapenzi. Kama utasoma hapo unaposema rafiki yako aliposema akiachwa na huyo demu ataumia sana. Hio inatokana na huyo rafiki yako amezizamisha hisia zake kwa huyo mwanamke.
 
Back
Top Bottom