Nimekuja Morogoro, Mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini

Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari.
Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.

😂😂😂
 
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?

JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
duh wee mzee usikute damu yako inaweza kuzalisha hata umeme na hujasanuka tu, una kimtaji we jamaa ila hujui tu.
 
Very sad umezaliwa Afr. Kule kwetu ulaya wewe ni deal. tungefanya utafiti sampo ya damu yako na pengine tungekulipa kwa ajili ya kupata dawa sahihi ya kupambana na mbu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom