mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Kankonko sio Kasulu wewe. Acha uzombi. Jama hujui sehemu nyamaza kinya. Usiuongelee mkoa wa kigoma kama unaongelea uchochoro wa kwenda kwenu. Kasulu, buhigwe, kibondo na kakonko vyote vinajenga kigoma. Huwezi zungumzia kigoma uiache kibondo. Umekariri urambo tu. Kutoka Urambo hadi nguruka unajua umbali wake wewe. Acha utani hapo kaliua hadi urambo hakuna lami wala mkandarasi. Na hapa hatuongelei mkoa wa tabora maana urambo, kaliua, usinge kote ni tabora huko. Ongelea mpeta rungwe mpya asante nyerere. Ongelea kasanda, kumshindwi, kitahana, busunzu kuna lami huko au mkandarasi.Kakonko alie itaja hapa nani!!?
Huna akili umekalia kukurupuka!!
unamiaka mingapi hutembei!!
Kutoka urambo kwenda Nguruka kuna vipisi vidogo vidogo 2 visivyo zidi 30km kila kimoja,
Unatoka Tabora -Urambo 91km ni Lami hugusi vumbi
Urambo-Kaliua 30km Barabara inamkandarasi anajenga
Kaliua(Igagala hapa ni Igagala namba, 12,2,mpaka mwisho namba 9na kumi 50km ni lami
kipande cha Usinge-kama 20km ndio bado kinavumbi
Unakutana na lami.
Kakonko Sio njia tunayo izungumzia hapa
hiyo ni Kasulu