Nimekoma kuazimisha gari

Daah gari siazimi aisee kuna siku niliazima mshkaj akaenda nalo kwenye harusi sijui wkt anarudi ilipiga jiwe/bonde gani aisee halafu alikua kajaza wacheza show kwenye altezza yani kaja anatembelea rim maana tyre ilikua nyang'anyang'a alikua anaburuza na wote kwenye gari wamelewa yani gari inatoa harufu ya kuungua kwa kutembelea tair isiyo na upepo nilisema sentensi moja tu SHUKENIII
 
Pole sana,ila wanaume mnapata wapi nguvu ya kuazimisha vitu vya familia? Gari si mali yako peke yako na wanao pia wanafaidika nalo kwa kuwarahisishia usafiri,wanajibana kwa Matumizi ili wewe ulipe pesa ya hilo gari..... haya mwambie mkeo sasa kama ulivyo elezwa na polisi
Dah, hayo maneno yake yanachoma balaa. Mkopo unaitesa familia na huo usafiri ndo hivo umeshayeyuka.
 
Back
Top Bottom