Nimekamatwa na Askari WA Usalama barabarani

Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?

Kama ni mdau wa vyombo vya usafiri ni muhimu sana kuwa na namba za simu za viongozi wa kikosi cha usalama barabarani ili itokeapo issues za hivyo unawapigia palepale, kuna nyakati huwa wanakuwa msaada sana
 
Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?
Nadhani umekuwa mzembe. Huku ndiko kuendeleza rushwa. Usingepaswa kulipa faini bila risiti. Ulitakiwa utafute usafiri mwingine uende ofisini ukaeleze kwani kupasuka kioo siyo kosa lako la kibinafsi la sharia za trafiki. Mbali na hayo hata kama hawana risiti ilibidi wakuandikie kwenye karatasi yo yote na kutia sahihi wakitaja majina yao. Ungeweza hata kutoa simu yako na kumpiga picha huyo trafiki ili uwe na ushahidi ni afisa gani aliyekutoza faini.
 
Ukitoa Dai Risiti mkuu lazima upewe vinginevyo umeibiwa.....nenda kituoni kwao upewe risit
 
bado unayo haki cha msingi nenda kituo cha polisi kilicho karibu submit hiyo notification kisha wakupe risiti. Niliwahi kukumbana na tatizo kama lako nilikaa mwezi ndio nikaenda kudai risiti mhasibu akadai nimechelewa nilimpiga mkwara akanipa risiti baadae wale askari nadhani walipeleka hela ili iingie kwenye mapato maana ile risiti ilikuwa yenyewe kabisa. Acha uoga dai haki yako
 
Hii system ya kulipa hapo hapo ndio inayosababisha ukiukwaji wa malipo, bora ingekuwa unapewa risiti ya kulipia na unaenda kulipia polisi iliyo karibu na wewe kwa muda hata wa wiki.

Kama uko safarini na umeshikwa kwa kosa unapigwa faini na kwenda kulipa huko mbele au pindi utaporudi nyumbani.

Baada ya wiki kama hujalipa faini inaongezeka mara dufu na unatafutwa.
 
Usilolijiua ni kama usiku wa giza.......sijaona kosa la Askari hapo...zaidi ya majungu tu.
 
Dawa yao ni ndogo sana,
Paki gari yako nyumbani kisha nenda kwenye kituo chao ukiwa na notification yako ukawadai risiti, ni haki yako kupewa risiti kwa maana umetoa pesa na usipodai risiti basi hiyo pesa haitafika Serikalini.
 
Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?
Dah! Yani mkuu gari yenyewe ya kampuni hafu unakua mwoga hivyo? Ungekomaa Tu, Yani mkuu umetoa rushwa!??
 
Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?
Hahahahaha jamanibusipo jua sheria noma sana,sasa kama gar ni ya kampuni s ungekubali tu wakakagua makosa yote imlad wakupe rist, ili uludishiwe,hapo wanakura tu hiyo30 ndugu
 
Habari zenu ndugu zangu Leo nimekamatwa na askari WA Usalama barabarini hapa arusha kosa ni crake kwenye kioo Cha mbele wakanipiga fine ya sh elfu 30 nikalipa wakaniandikia notification nikadai risiti kwani Gari ni ya kampuni ili nirudishiwe Pesa zango hapo ndipo balaa ikaanza wakaniambia risiti hawana kitabu kipo ofisini nikawaambia itakuaje mje bila kitabu? Wakaniambia ondoka au tutalikagua Gari lako tukutolee makosa lukuki ilibidi niondoke he nisaidieni sheria inasemaje? Kama hukupewa risiti?
tatizo lako ni uoga, unapigwaje mkwara halafu unakunja mkia?
hapo umeliwa, wana vitabu vingi, ili pesa yake iwe iende sehemu husika lazima upewe risiti, nenda central pale ukadai risiti...najua huendi japo unaomba ushauri
 
Hao wamekula hela yako! Unatakiwa ulalamike kwa kamanda wao, mwenye namba amsaidie mdau
 
Back
Top Bottom