Nimejitahidi lakini nimeshindwa kumsamehe mke wangu mtarajiwa kwa hili

Aisee huyu mimi hata sitaki kufikiria mara mbili mbili naacha kabisa yaan kuna mmoja nilikuwa nadate nae toka yupo yanki akawa ananiambia kuwa hajawahi lala na mwanaume ofcoz yule binti yupo vizuri kwao na ni mtu anayetokea familia ya dini sana sasa bana siku nimeshamaliza zangu four matokeo yametoka yeye wakat huo yupo four maana nilimzidi kidato kimoja sasa ili kupiga mzuka wa matokeo baharia nikaona ngoja niiombe hii pisi mchezo maana kama ni embe basi limeiva mnoo na nimesharisubir sana mara akaanz kunipa maneno ooh sijui nilikuwa na umwa pindi npo form 2 nikaingiziwa vyuma uk.ni wakat natibiwa kidume nikasema fresh siku napewa gemu wakat natumbukiza mzigo nikaona kweli inanata ila nikasema huyu anapifunga kamba nikaamua kumpiga chini baada ya game
Zaidi ya asilimia 80-90 wanafunzi waliopo O level huko wameshasagwa vibaya mno..kazi huwa nikumalizia chuo tuu! vikifika huko vinafukunyuliwa tuu
Ukitaka mali utaipata SHAMBANI.
 
Jilaumu mwenyewe,kwa kushindwa kumgegeda eti unasubiri siku ya kumuoa!!!!!!,wakati huo na yeye ana nyege zinamsumbua,akaona isiwe tabu.
Nakuhakikishia kua kama una msichana usijidanganye eti kusubili hadi siku ya ndoa.Utajuta
“na kutokana na jinsi tulivyoishi hatuwahi kabisa kufanya mapenzi, alidai ye ni bikira, sikuweza kuwa na uhakika lakini kutokana na jinsi alivyo na tunavyoishi kwa asilimia kubwa niliamini hilo”

Mkuu hatujakataa ndio shahawa zake zinamsumbua,ila sijui kama ulielewa maelezo ya mleta hoja..mwanamke alidai kuwa ana bikra!

Hivyo jamaa akaamini,akaona isiwe tabu wacha mzee baba awe ngumu,kwa sababu amemuamini mwamamke ametulia sio MALAYA..kumbe wenzie wanamgeuza geuza tu huko wanasubiria mzee baba anunue shuka jipya,Ila haya Maisha
 
Wanadamu wagumu sana kuishi nao. Nilifikiri utapeli uko kwenye mambo ya biashara tu, mpaka mahusiano nako si salama!
 
Mwanaume anasifiwa kwa maamuzi magumu

Nakushauri chukua maamuzi magumu iwe fundisho kwake ndugu zake rafiki na wasichana wote humu wenye tabia kama zake

Chukua maamuzi ya kuachana naye maana kachezea shilingi shimoni na imedumbukia.

kanuni za wanaume
1. Usioe Mwanamke anayekudharau, kukuona fala na kukusaliti kisha anakuambia.
2. usioe mwanamke mshirikina.
3. usioe mwanamke muongo na akuongopeaye kwa kuhalalisha uongo wake maana utapata tabu sana ndoani
4. Kama hujaelewa rudia namba 1 hadi 4.
 
Sema we jamaa nae umezingua,,iv hata kama hamfanyi mapenzi hamna siku mnakua mnatouch touch za hapa na pale alaf utest hata na kidole kama ipo??kuna mzee mmoja anaitwa mwitore soma sana kisa chake kitakufundisha jambo
Ila la ushauri wangu kuliko umuoe huyo bora ukachukue barmaid umueke ndani.
 
Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu sana, baada ya mchumba wangu au mke wangu mtarajiwa, kuniambia kitu ambacho kimeniumiza sana katika moyo wangu.

Ni hivi, mimi na huyu binti tulikutana yapata mwaka mmoja na nusu hivi, tulipendana na kuheshimiana sana, kiukweli alikuwa chaguo sahihi sana kwangu, katika nyanja zoote. Mzuri, ameshika dini, haniombi pesa mpaka nimpe mwenyewe hana makuuu.....na sifa nyingi kem kem za kuitwa wife material.

Kutokana hali hii nilijikuta naingia gharama nyingi sana sababu yake hasa ukizingatia nilikuwa namuamini sana huyu mwanamke, na pia niliona ni wajibu wangu kumhudumia kwa sababu ni mwanamke wangu, na kutokana na jinsi tulivyoishi hatuwahi kabisa kufanya mapenzi, alidai ye ni bikira, sikuweza kuwa na uhakika lakini kutokana na jinsi alivyo na tunavyoishi kwa asilimia kubwa niliamini hilo.

Sasa ilitokea kuna kipindi mimi nikahamishwa kikazi toka sehemu tulipokuwa tunaishi pamoja na huyo mchumba wangu, hivyo tukabaki tunawasiliana tu na kupanga mipango kabambe juu ya maisha yetu yajayo, nilikuwa nina furauha sana juu ya huyu mwanamke.

Lakini kuna kipindi alinipigia simu akadai anaumwa sana, nikimuuliza nini shida akawa hanielezei ukweli, anaficha ficha, kadri muda unavyoenda kuna kipindi akawa hapatikani kabisa hewani, muda ukaenda lakini baadaye akaja kuwa hewani kwa namba nyingine alisema alipoteza simu ndio maana alikuwa hawezi kuwasiliana na mimi, nilikubali na mawasiliano yakaendelea kama kawaida. Mapema mwakani nilikuwa nina mpango wa kumuoa, na tulishaanza kuandaa mipango yetu itakavyokuwa lakini.

Wiki iliyopita kumetokea shida, kwake anachukulia ni ndogo lakini kwangu ni shida kubwa na kiukweli japo kaniomba msamaha na nikatamka kwa mdomo kwamba nimemsamehe, lakini moyo umegoma, pamoja na kumpenda koote lakini kwa hiki alichofanya Nimeshindwa kabisa Kumsamehe.

Anadai kautoa kafara usichana wake ili aweze kupona, kile alichokuwa anaumwa. Anadai ndugu zake walitaka kumtoa kafara wamuue, sababu kuna mipango yao alikuwa kashaijua hivyo walikuwa wanaenda kummaliza kabisa na atoweke katika ulimwengu huu.

Kile kipindi alikuwa anaumwa kumbe shida ndio ilikuwa hao ndugu zake walikuwa wanamsumbua, na alishauriwa na rafiki zake waende kwa mganga ambaye anatibu kwa majini, na huyo mganga alichomwambia tiba yake ni kuutia huo usichana wake kwa mwanaume ili wale ndugu zake wasiweze kumtoa kafara.

Anachosema ilibidi mimi ndio niende nikafanye hiyo kazi, lakini alishindwa kuwasiliana na mimi sababu hakuwa na simu na alikuwa hoi sana, na yule mganga ni mwanamke hivyo ilibidi atafutwe jamaa ya huyo mganga ndio aifanye kazi hiyo.

Ya kumbikiri Mke wangu mtarajiwa . Niliumia sana, zaidi ya Sana kiukweli nilimwambia, zama hizi akili yako inafikiria vitu kama hivyo? Ulishindwa kutafuta japo simu au kumpa mtu namba anitafute tupeane japo ushauri? Maana shida zake nyingi sana nilimtatulia lakini sijui kwa nini hili hakutaka nimsaidie?

Nimejitolea vingi sana kwa huyu mwanamke, nimepoteza muda, na moja ya vitu nilivyokuwa natarajia toka kwake na nilimsisitiza ni kuutunza usichana wake kwa ajili yangu, sababu katika maisha yangu sijawahi kumbikiri mwanamke, na nilikuwa natarajia hapa, me sio mtu wa wanawake, ni mtu najiheshimu sana. Nilikuwa namuamini na kaniomba sana msamaha lakini nimeshindwa kumsamehe japo mdomoni nilimwambia yameisha.

Anasema kama angeamua kunificha kuhusu hili asingeshindwa kabisa kwani amefundishwa jinsi ya kuurudisha usichana wake,na mimi hata ningekuja kumuoa nisingegundua chochote, ila ameamua tu kusema ili kuniweka wazi. Nilimpenda lakini ameniangusha sana kwanza kuamini Ushirikina na pili kuugawa usichana wake kwa mtu tu, mpita njia.

Alilia sana na kunisihi nimsamehe maana hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo ili kuokoa maisha yake, yuko tayari nimuoe hata awe mke wa pili lakini sio kumuacha, nilimkubalia, lakini kiukweli nafsi imegoma kabisa kumsamehe, tunawasiliana lakini hayupo tena moyoni mwangu.

Najua wapo wanaume Wenzangu, wanaooa wanawake ambao walishazalishwa, au waliofanya matukioa zaidi ya huyu wangu lakini kwangu imekuwa ngumu kumsamehe, nataka kumfanya awe rafiki tu na sio Mke kama ambavyo tulipanga.

Ushauri wenu tafadhali, mwenzenu nimekwama najipanga kutafuta mchumba mwingine, nioe haraka.
Kyai kya rangi
 
HUO UONGO ALIOTUMIA KUKUDANGANYA MBONA NI MWEPESI SANA KIONGOZI NA WEWE UMEKUBALI KIRAHISI SANA
 
2019 huu uzi ulipotoka, vipi mkuu ushamwoa tayari au ulipiga chini😆😆😆tupe mrejesho bc😋
 
Bikra hakuanayo tokea mwnzo sema mipango ya harus ilivokua ikikaribia ndio akatafta namna ya kukudanganya
 
Huyo dada kaniudhi utadhan ni mm ndo naenda kumwoa, ningekuwa ni mimi ningempiga chini, huyo atakuwa alishalisha hiyo bikra kitambo sanaaaa 😆 hao si wanawake wa kuoa kamwe, ni sawa na masingo maza tu, tena bora ata singo maza🤣🤣🤣
 
we jishauwe eti rafiki anakuset huyo unatulia tul kama tui la nazi... kama unaondoka hakuna cha urafiki na kama unabaki rudi sasa hivi mapema...ukichelewa anakuvuta anakufanya atakavyo
 
Back
Top Bottom