mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Wewe ni mwanamme au mwanamke?..... Sijakuelewa kutaka kujua mali za mwanamke.... Sisi tunajua kwa mwanamke tunaangalia tabia zake na uzuri wake.Nipo na mwanamke karibia mwaka sasa lakini nimegundua mwanamke nilienae ni muongo balaa sijapata kuona anajifanya ana dili kubwakubwa lakini kwa ujuzi wangu wa kuelewa mambo nagundua ni Msanii sanaa kila siku anasema nina gari za mizigo Lakini huzioni atakwambia nina nyumba Lakini siku zote yupo chumba kimoja yaani story zake ni km mwanamke mwenye uwezo sanaa na hana hofu na hilo akiwa anasema lakini ukweli ni muongo sanaaa kuna kipindi alinambia ana maduka ya hardware lakini ukimwambia hata siku moja twende dukani atakuzungusha mpk uchoke. Sometime ananipa mazawadi km nguo viatu ila najiuliza anapataje pesa na ofisi sizioni au tunammega wengi maana kila mtu anaishi kwake