Ebu nipe namba yake nimjaribu na mimi.
HIYO KAZI NIPE NIKAIMALIZIE KAMA KWELI
Nipe na Mimi namba yake nimtongoze. Ntakutumia picha zake ikiwa gethondugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali
Hahahhha we nomaEbu nipe namba yake nimjaribu na mimi.
Hahahahahajuzi tu leo umechumbia na posa juu wewe si mzima kichwani
Duh pole,Pole sana mkuu, me pia juzi nmekumbwa na mkasa kama wako. Posa nmelipa na biashara nkamfungulia cha ajabu hapo hapo kwenye eneo la biashara ndio pakawa sehem ya yeye kukutana na wajanja zaidi yangu.....wanawake wa siku hizi wanatakiwa wabuniwe namna nyingine ya kupendwa siyo kama ile tuliyoirithi kwa wazee wetu! Me nimemuacha asara kubwa roho baba pesa ntatafuta tu!
hapo hamna mke walai, yani ef 50 kakubali kuuza utu? Na appointment hio kakataa kui cancel ijapokuwa we mpenzi wake umetaka muonane kesho hio hio. Achana na hio boroka!