Nimeipenda sana Sumbawanga

nasikia ofisi za tcra zimehamishwa usiku wa leo kuja huko, naomba kujua hilo gorofa limewekwa wapi
 
pl
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia Sumbawanga
Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.
Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.
Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia
Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.
Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.
Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.
IMG_0543.jpg

Hakuna foleni
njoo huku.
Barabara%2BSumbawanga.jpg

Ukichelewa shauri zako.
57195139.jpg

Plot utapata kwa sh laki tatu..
sasa unafanya nini huko mjini?
Majuto ni mjukuuu
Kuna kitu umeongea mapema hakuna haja ya kuendelea.
Umesema chicha nilitaka kukwambja utakua mlevi WA pombe za kienyejj.
 
Kuna jamaa yangu anapenda sana kunishawishi nihamie huko...kiukweli wanaoishi sumbawanga hawa tofauti na wanaoishi gamboshi-shinyanga
Kule vinakaa vyuma tupu...we mwenzangu na mimi hujawahi chanjwa hata chale usibugi kwenda ishi huko
Sijawahi chanjwa ,sina chale wala hirizi na nipo Sumbawanga mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom