Da! Nimeibiwa laptops mbili hapa Ubungo Kibo, Dell na HP. HP imevunjika kipande mbele kushoto mpaka hard disk inaonekana, ila ndio ina data zangu muhimu.
Dell ina hard disk ya 1TB na HP ni 500Gb (kama nakumbuka vizuri). Ukiiona HP utaitambua kwa maelezo haya.
Mhusika naomba tu jamani baki na hizo laptops nirudishie data za hiyo HP. Masikini mie