chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
Daah!. Kunyongwa tena.
Maskini, I can't Imagine uharo na mkojo utakaoutoa.......
Mbutaah!.




Daah!. Kunyongwa tena.
Maskini, I can't Imagine uharo na mkojo utakaoutoa.......
Mbutaah!.
hahaahhaUkinyongwa utujulishe ili tuweke matanga
Naona ameshatendwa. Si alikuwa anamtag smartKuna mtu hujamtag mkuu, au ndo mnyongaji???
Wako wote wana nyongana hawezi mtagHuu ni ukurasa wa 4 sijaona kama kamtag shemeji kama kawaida yao na jamaa hata hajakomenti.
Unanyongwa na serikali au mtu binafsi?
uzi wako peleka facebook naona unatafuta comments hapa za kijingaHabari za usiku mabibi na mabwana
Mpaka muda huu naandika uzi huu mwenzenu sijielewiiii kabisaaaaa na nahisi nibora nijilipue mwenyewe kuliko kitendo cha kunyongwa
Kwahiyo msiponiona mazima msishangae wapendwa ndoivo nitakua nishakufa mwenzenu sio mimi tena.
Labda wakiri wangu akate rufaa ila hukumu ishatoka nanyongwa mimi
Nichukue nafasi hii kuomba radhi yeyote yule niliemkwaza kumkosea intentionally or unintentionally..
Tusiache kuombeana ndugu
Amani tele itawale mioyoni mwenu. Amina
Ina maana hujamuelewa mkuu??!....... Huyu ananyongwa na mapenzi!!
ayayayayaayaDaah!. Kunyongwa tena.
Maskini, I can't Imagine uharo na mkojo utakaoutoa.......
Mbutaah!.
Wako wote wana nyongana hawezi mtag
Unapaswa kuwa gerezan simu umeipata wapi huoni unaongeza tatizoUkinyongwa utujulishe ili tuweke matanga
Kuna post moja aliandika hivyo.Mkuu unamaanisha smart911 amepata kamchepuko??![]()