Nimehudhuria ndoa 12 za ndugu zangu waislamu ndani ya wiki mbili, kunani jamani mbona kuoana hovyo

Ndoa za futari tu mangi zisikutishe,zinaa haitakiwi ndani ya ramadhani ila tukifungua kidoooogo tunajiiba.
Na wala msiikurubie zinaa. Hili ni zuio la nyakati zote,Isipokuwa wakati wa Ramadhan,Tendo la ndoa hufanyika nyakati ambazo wanandoa wanakuwa hawana swaum,Au mwenzetu una aya yenye kukupa ruksa?
 
Sheria haikuwekwa ila kwa kuwa inavunjwa!ua hakuna wanaoikurubia? Kama wapo na tunawaona ndiyo maana nikasema kidoooogo.
 
Si tu hapo wapo wanaozini mpaka ramadhani ila matendo yao hayatoi uhalali kwa ouvu wao,tunachopaswa ni kukumbushana kukaa mbali na zinaa na sio kutoa mianya "ya kidogo"
 
Inaeleweka mkuu,wala sikupingi abadan,lakini swali ni kwa nini karibu na ramadhani?Na wengine walikuwa wanaishi pamoja tu.au ndo majaaliwa yao ?
 
Ilikuwa ni mwendo wa chai viandazi na vigodoro mtindo mmoja... Yaani hata hapa naandika nimetoka kugonga biriani la kuku kuna maalimu mmoja kuchukua jiko la pili leo.

Ninaposema ndoa kumi na mbili namaanisha waungwana..... Yaani ikitoka mtaa huu ni mtaa wa pili.

Mangi imebidi nijiulize kunani jamani mbona kuoana huku sikuwahi kushuhudia??? Na hizo ni nilizoalikwa tu, ukipita mtaani unakutana na maturubali na mziki wa kigodoro kila kona...

Jamani ng'iki mbona hivi ndugu zangu waislamu, kunani???
Kweli aiseee mtaani kwetu zimefungwa nane .
 
Inaeleweka mkuu,wala sikupingi abadan,lakini swali ni kwa nini karibu na ramadhani?Na wengine walikuwa wanaishi pamoja tu.au ndo majaaliwa yao ?
Ndoa hufungwa nyakati yoyote ile,iwe muharam,rajab,shaban au ndani ya Ramadhan yenyewe. Hapo ni suala la kupanga na kuchagua
 
Ilikuwa ni mwendo wa chai viandazi na vigodoro mtindo mmoja... Yaani hata hapa naandika nimetoka kugonga biriani la kuku kuna maalimu mmoja kuchukua jiko la pili leo.

Ninaposema ndoa kumi na mbili namaanisha waungwana..... Yaani ikitoka mtaa huu ni mtaa wa pili.

Mangi imebidi nijiulize kunani jamani mbona kuoana huku sikuwahi kushuhudia??? Na hizo ni nilizoalikwa tu, ukipita mtaani unakutana na maturubali na mziki wa kigodoro kila kona...

Jamani ng'iki mbona hivi ndugu zangu waislamu, kunani???
Maandalizi ya kugoma kula mchana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom