Nimehamisha elfu kumi kutoka NMB kwenda tigo pesa nimekatwa elfu 4

ushawai jiuliza kwa nni mzungu hatumii sim banking au ushamuona akitoa au kuweka hela kwenye simu yake na akiweka atakuwa ananunulia airtime si kingine.



think twice
 
NMB mungu anawaona! nlikuwaga natumia NMB mobile kkwa zaid ya miaka mitatu sasa! kitu ambacho sikuwa na muda nacho ni kuangalia nakatwa bei gan ninapohamisha ela!

leo nimejaribu mambo mawili
1. nimehamisha elfu 10 kutoka tigopesa kwenda NMB nikakatwa elfu 1 yaani buku!
2. kimbembe kurudisha ela kutoka NMB kuja tigopesa wamekata 4000!


natangaza rasmi kuachana na huduma hii! hadi wakat huu wa serikali awamu ya 5 mnakamua kiwizi wizi hvo? elfu 10 kwa elfu 4 kweli? dah sasa itabid nikaombe statement kwa mwaka mzma nitathmin mmeniibia ngap

shame on you NMB!
Kabla ya awamu hii walikua wanakata 3000 sa hv 4000 me nlishawahama mda sanaa,,,,,,,,apo bado hujakatwa pesa ya kutolea mpesa tgopesa au airtelmoney
 
Niliwahi kutumia miaka mitano/minne iliyopita kwa m-pesa. Makato yake niliumia sana. Toka siku hiyo sijawahi tena kufanya money transfer kutoka bank kwenda m-pesa au m-pesa kwenda bank.
Sio mtu wa kispoti spoti mimi
 
Kadi yako unayoitumias ni atm ya kawaids au pamoja account yaan ni akaunt ya akiba au mshahara
 
Back
Top Bottom