Nimehamia Tabata, kila mtoto ninaekutana nae ni kisu balaa, sijui kama nitapona mie

tatizo wana jf wote kila mtu anatoka dar! hata wanaotoka vigwaza, ngerengere, mkata, kisarawe atakuambia kwao masaki/mbezi/... wana sehemu ya biashara mliman city mara ooohhh dereva wetu anawazungusha watoto njia ndefu looohhh kazi kwelikweli
 
Nataka kuhama huku Mkwajun Mosko mademu wanapita na ngoma zao barabaran wakicheza madere wanayanyanyua juu na kubak tupu wanaboa sana afu panya road hawakos kila mwez mara2 au 1 yaan kinondon fujo sana hapa tu nilipopanga wadada wanauza papunch yaan wanaume wanapishana tuu rum sijui nihamie wap huko Tabata chumba kizur sh ngap kupanga?
 
Huku kwetu kilungule sijui ndo huku mbagala mwisho?ila mi najua ni mbagala kuanzia mwaka 2005 hadi 2012 kulikua na watoto wazuri sana,yani wanaume wakija site kukagua ujenzi wa nyumba zao walikua wanasaliti ndoa zao,kuna dada ana saloon yeye alikua ndo incharge wa hao watoto, ukimtaka demu yeyote umempata,lakini sasa hivi wameshazalishwa wamenenepeana hao lakini sura bado zina lipa.
 
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
watakumalizia hivyo vi 20 elf vya kupiga gitaa kwenye events! stuka!
 
Back
Top Bottom