Nimefuma kitabu chake chenye majina ya wanaume 50 aliowahi kutembea nao

Fideliiiz

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
632
407
Poleni kwa majukumu naombeni ushauri

Ninae mwanamke, katika pekuapekua ndani nimefumania kijitabu chake ameandika wanaume zake wote aliotembea nao ni zaidi ya hamsini sasa wadau huyu atanifaa kweli?
 
  • ina maana na wewe atakuweka kwenye list mkuu, sasa hapo kazi unayo mweneyewe kusuka au kunyoa na
  • vp ulisha cheki afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…