Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Wasabato akili zenu zimeshikiliwa na kile kibibi chenu Ellen G White. Kuia alichokiandika kwenye vitabu vyake, ndicho mnachokifuta.
 
Katika ulimwengu wa roho hakuna tofauti ya Ukatoriki na Uislamu! Zote zina taratibu za ibada zinazofana ambazo zinakatazwa na Mungu,(Walawi26:1)
Wewe ndiyo umeongea.watu siyo wafuatoliaji wazuri wa dini hizi mbili. Almost kila kitu kinafanana. Isipokuwa tu wale wanasali kilatini wengine kiarabu. Hata mavazi ya mitume na wanawake enzi hizo walivaa kama waislam
 
Naona dini zitafarakanisha watu. Kwanini kila mtu asikae na anachokiamini , kusema dini za watu vibaya haiwezi Fanya dini yako iwe Bora.
Na hiki ndicho Wakatoliki tunachofanya miaka yote. Hatujawahi kuwa na muda wa kuhangaika na mambo yasiyo tuhusu. Na hata kwenye mafundisho yetu siku za Dominika, huwezi kuona mahali tukiisema au kuikejeli imani ya watu wengine! Isipokuwa huwa tunajishughulisha na mafundisho ya imani yetu tu.

Ila baadhi ya waislamu, wasabato na wale wanaojiita walokole (ingawa ukiwafuatilia kwa undani utagundua ni wanafiki na wadhambi wakubwa) ili wafahamike kwenye jamii; ni lazima wahangaike kulishambulia Kanisa Katoliki.
 
Acha unafikia ndugu yangu ,nyie wakatoliki ni wabaya tena wanafiki zaidi ,kwenye mitandao mnapenda kujifanya mna nguvu ,mnasema mlianzisha uislamu..
 
Kwa hiyo matola umebubujikwa na machozi ya furaha au ya huzuni ulipogundua dini zingine nazo zinaabudu sanamu kama Katoliki?


Kwanza wakatoliki hawaabudu sanamu, labda kama huelewi maana ya kuabudu.

Hivi unajua kuwa hata kabla ya Kristo, sanduku la agano, lilipewa heshima kubwa, wayahudi walilisujudia na lilibebwa na watu maalum. Je, utasema walikuwa wanaliabudu lile sanduku lililobeba zile mbao za amri za Mungu?

Wayahudi walivyokusa jangwani kwenye safari yao ya kuelekea Promise Land, pake walipokuwa wakiumwa na chochote wanakufa; Mungu akamwambia Musa atengeneze nyoka wa shaba, na kila aliyeumwa na chochote alimtazama yule nyoka wa shaba, naye alipona. Je, kwa upeo mdogo wa baadhi ya watu, wanaamimi kuwa waliokuwa wanamtazama nyoka wa shaba, walikuwa wanamwabudu?
 
Katika ulimwengu wa roho hakuna tofauti ya Ukatoriki na Uislamu! Zote zina taratibu za ibada zinazofana ambazo zinakatazwa na Mungu,(Walawi26:1)

Wewe ukiona dini inakuambia "ukisafiri mpaka nchi fulani, ambayo ni takatifu utasamehewa dhambi zako." Utakuwa kama mtoto mchanga. Hiyo ni ibada ya sanamu. Kutupa mawe kama ishara ya kumpiga shetani, hiyo ni ibada ya sanamu. Kuangalia uelekeo fulani kila unapo sali hiyo ni ibada ya sanamu. Kuhesabu shanga kama njia moja wapo ya kufanya ibada, ni ibada ya sanamu. Kurudia maneno yale yale mara nyingi katika ibada hiyo hiyo moja, nayo ni ibada ya sanamu.
 

Unaelewa nini kilitokea baadaye kuhusiana na huyo nyoka wa shaba? Pia waelewa kwa nini kaburi la Musa halikuonekana mahala popote?
 
Acha unafikia ndugu yangu ,nyie wakatoliki ni wabaya tena wanafiki zaidi ,kwenye mitandao mnapenda kujifanya mna nguvu ,mnasema mlianzisha uislamu..
Wakatoliki siyo wanafiki ndo maana linaonekana dhehebu lenye wakosefu wengi. Ni kwaida kumkuta mkatoliki anakunywa pombe hadharani ila sio mlokole kanisani anaonekana innocent ila nyuma ya pazia mkatoliki ana afadhali.
 
Acha unafikia ndugu yangu ,nyie wakatoliki ni wabaya tena wanafiki zaidi ,kwenye mitandao mnapenda kujifanya mna nguvu ,mnasema mlianzisha uislamu..
Umenielewa kweli nilichoandika! Mimi naongelea kwenye mahubiti yetu Wakatoliki hatuna muda wa kuisema imani ya watu wengine kama wafanyavyo baadhi ya waislamu, wasabato, walokole, nk.

Na kuhusu hilo suala la Kanisa Katoliki kuhusishwa kuanzisha Uislam, huwezi jua. Maana hata Anglican na Lutheran nao chimbuko lao ni Kanisa Katoliki. Halafu usichukie kwenye vitu vyenye uhalisia. Ni kweli Kanisa Katoliki lina nguvu ya kiuchumi, kijamii na pia lina ushawishi wa kisiasa tangu enzi na enzi.
 
Unawajua wahubiri wote ? Katika uislamu au vitabu vya uislamu hakuna neno ukristo kuna manaswara ...Hakuna ibada inataja wakristo hata surah moja ,ndio kaana Qur an inatafsiriwa kama ilivyo ...Hao wanaotaja wakristo ni matakwa yao .

Tafsiri za mchongo wanaweka ukristo kwenye neno manaswara hapa utaelewa kwa nn Qur an inasomwa kwenye lugha yake ya asili.
 
Wakatoliki siyo wanafiki ndo maana linaonekana dhehebu lenye wakosefu wengi. Ni kwaida kumkuta mkatoliki anakunywa pombe hadharani ila sio mlokole kanisani anaonekana innocent ila nyuma ya pazia mkatoliki ana afadhali.
Naongelea hawa wa mtaani , wanapenda sana ushabiki ...Sijaona viongozi wa dini wanakigombana ila wafuasi wana tabu sana.
 

Sasa ulitaka neno la kigiriki liwe kiarabu?
Au hujui kuwa Kristos ni neno la Kigiriki ambalo hata kwenye lugha mama ya Yesu halimo?
 
Sasa ulitaka neno la kigiriki liwe kiarabu?
Au hujui kuwa Kristos ni neno la Kigiriki ambalo hata kwenye lugha mama ya Yesu halimo?
So lazima usome chanzo halisi cha taarifa kwenye lugha ile ile ili upate maana kamili...Kusoma kitu kilichotafsiriwa kuna matatizo japo sio mara zote.
 
Afu hyo mijitaulo wanajifunga ya nini?nashangaa sanaa kwa wenye hii dini..eti unavua na kujifunga tu taulo...ebu muone mwijaku anavyojisumbua kujifunika...mara taulo inadondoka mbele ya wanaume wenzako....daa...aibu naiona mimi
Umewazaa kama Mimi,akipatwa na pepo hapo akaachia taulo pumbuu njee Mzee mzimaa🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…