Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Imani zote za kikiristo na uislamu zimetokea kwenye ukatoliki.

Sio kweli...

Pindi tu Yesu Kristo alipoondoka, wafuasi wake walianza kuwa na fellowship lakini kwa kujificha sana...

Ukatoliki wa Kirumi ulikuja baadaye sana na hata matawi yake yalikuja baadaye pia...

Kuna imani za kikristo ambazo hazifuati wala kuwa na vinasaba na ukatoliki wa kirumi...
 
Wasabato ni sanam gani wanayoiabudu, je na phd ysko unajua maana ya kuabudu, ungeenda ku google then rudi tujadili. Roma hupiga magoti mbele ya sanam 2, bikra maria na yesu.
Soma vizuri kutoka 20 ndo ujue kuabudu ina maana gani. Kushika ukuta sio kuabudu. Hata wakristo huwa tunarnda mshsli yedu aliishi kwenda kutembelea
Andika vizuri bob
 
Sio kweli...

Pindi tu Yesu Kristo alipoondoka, wafuasi wake walianza kuwa na fellowship lakini kwa kujificha sana...

Ukatoliki wa Kirumi ulikuja baadaye sana na hata matawi yake yalikuja baadaye pia...

Kuna imani za kikristo ambazo hazifuati wala kuwa na vinasaba na ukatoliki wa kirumi...
Hiyo Bible yenyewe imeandikwa na catholic.
 
Back
Top Bottom