Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,250
- 105,283
Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.
Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.
Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?
Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.
Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.