Hahaha ila we jamaaNa wewe wakati unarudi hakuna kutoa taarifa tena unaingia nyumbani ukiwa umelewa chakali ukiwa umeletwa kwenye toroli au bajaji
Simple like thatiPiga chini.....
Andika talaka mtumie whatsapp bro
Kabisa bro....Simple like thati
Itakuwa unaishi jirani na Yesu 😅Familia wote mkijifanya much know hamuwezi kufika popote,mi huwa nashangaa inakuwaje mtu mnagombana mpaka unasafiri unaacha mgogoro,I wish initokee hata siku moja make hapa kwangu hata lisaa halipi ugonvi umeisha.
Ndani ya nyumba kuna mengi, mleta uzi naona ana shida, kanuni ni moja tu" mpende mke, atakuheshimu". Msingi wa upendo ndani huanza kwa mme kwa kuwa ndie alianza kumpenda mwanamke hata kabla huyo mwanamke hajafaham kama anapendwa, baadae ndipo alipomfuata na kumjulisha(kumtongoza).Hatujui chanzo cha gumzo Lao nyumbani, ila kitendo cha mkewe kuwa online anachati na watu wengine bila kumjulia hali mumewe ni dosari. Hata sms tu inatosha, ni bora hata kama asingeijibu fresh tu
Ndoa za watoto wadogo zina ujinga mwingi sana. Mie hata kuchangia nimeona uvivuHii ni akili au matope? Anayetakiwa kusema amefika ni nani, kama sio wewe? Kwa nini huyo wife naye asimalalimike umefika bila kumpa taarifa?
😄ukirudi fanya kumpakia mkongo
Labda yaani huwa natamani hata ninune nune ila mzee hakubali lazima msolve tatizo.Itakuwa unaishi jirani na Yesu
Uzuri mmoja mpka tufike huko utakuta wanaume halisi tumeshakufa walibaki ni mabunga na wapaka poda tu watajuana wenyewe 😁😁😁😁Taratibu mnaanza kuukubali uhalisia sasa, tukisema sisi mnatuita feminists wakati huo ndio ukweli, bado wale waliokuwa wananibishia kwamba mwanaume ndiye anayehitaji zaidi ndoa kuliko mwanamke
Sasa imagine huyu mwenzenu mke wake hajampigia tu kumuuliza kama kafika salama, tayari kaumia kihisia na kaanza kuquestion mapenzi ya mkewe kwake, sasa jiulize je wanawake wanaweza kuumizwa na mambo ya kipuuzi na kitoto kama haya
Na huko tunakoelekea wanawake wakianza kusimama vizuri kiuchumi, na jamii ikiacha kuwasimanga kwa sababu ya umri basi ndio mtajua mbivu na mbichi, na ndio mtajua rangi halisi ya wanawake hapa mbona bado hamjaona kitu relax and watch how this goes
Hapana tayari tushafika Huko ndio maana unaona siku hizi malalamiko mengi yanatokea upande wenu 😁😁Uzuri mmoja mpka tufike huko utakuta wanaume halisi tumeshakufa walibaki ni mabunga na wapaka poda tu watajuana wenyewe 😁😁😁😁
Fanya mambo yako wife wako pia ni binadam anaghafirikaOfcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?