Nimechoka kufanyishwa mapenzi

Mhuu nasikiaga na unaweza usioe maisha. Kama hukatafuta ufumbuzi wa hilo.
Pole sana
kila siku nagombana na wanaume hakuna mwanaume ninaekaa nae muda mrefu Yan nashikwa na hasira za mara kwa mara nikifanya mapenzi siinjoy kabisa mpaka mpz wangu amechoka
 
Kama ni muislam..hakikisha unafanya haya kabla ya kulala
1. Weka udhu kama unaenda kusali
2. Soma suratul nnas,falaq na ikhlas mara Tatu Tatu
3.Soma ayatul qursiy

Utalala usingizi nyororo,sio jini wala sheitwan litakalokugusa usiku.

Kama mkristo,,,ngja tusubiri watumishi Wa bwana watakuelekeza!
Nimependa comment yako,watz wote tungekuwa kama wewe tungeshatoka hapa tulipo
 
Kwanza pole, hiyo hali ni kuingiliwa kimwili kwa namna ya giza. Suluhisho ni kuombewa, kwa imani yangu tafuta wachungaji wa makanisa ya KIROHO ili waivunje nguvu hyo, la sivyo utakosa hamu ya kutenda tendo hilo ktk hali ya kawaida na binadamu mwenzio/mwenza wako willingly.
 
Inasikitisha sana... Ushajaribu kufanya hayo mapenzi kihualisia au hata kuyatamani??

Mara nyingi ndoto ni marudio ya kile ulichofanya, au utatarajia kukufinya...

Cc: mahondaw
 
kila siku nagombana na wanaume hakuna mwanaume ninaekaa nae muda mrefu Yan nashikwa na hasira za mara kwa mara nikifanya mapenzi siinjoy kabisa mpaka mpz wangu amechoka
Una jini mahaba mkuu tafuta maombezi yalipo uombewe na kiongozi wa dini yako
 
Kama ni muislam..hakikisha unafanya haya kabla ya kulala
1. Weka udhu kama unaenda kusali
2. Soma suratul nnas,falaq na ikhlas mara Tatu Tatu
3.Soma ayatul qursiy

Utalala usingizi nyororo,sio jini wala sheitwan litakalokugusa usiku.

Kama mkristo,,,ngja tusubiri watumishi Wa bwana watakuelekeza!
inshaallah
 
Inasikitisha sana... Ushajaribu kufanya hayo mapenzi kihualisia au hata kuyatamani??

Mara nyingi ndoto ni marudio ya kile ulichofanya, au utatarajia kukufinya...

Cc: mahondaw
sijawahi kufanya hivyo halaf hii hali ni ya mara kwa mara
 
siwazi ngono mkuu nipo busy sana na kazi

Labda ilo ndo tatizo,ur practically unbalanced emotionally,afu inawezekana umekua broken heart recently,unahis uitaji mwanamme just be patient, na punguza stress na hasira you will be fine,
 
Back
Top Bottom