Nimeamua kuishi kama kijana wa 'Kizanzibari'

Tatzo vijana wengi tunapenda kujitutumua tuonekane tunazo Wakt maisha mgumu kujionyesha kwetu kunawafanya hawa wanawake wapande bei mbona Mimi wangu ni wa hapa hapa dar lakn hana makubwa kabisa tunaish maisha happy tu, ni namna unavyojiweka hata huko Zanzibar wanawalalamikia wanawake wao pamoja na kuona maisha simple lakn pia wanaconsider anayejiweza, huna kitu hutapata kitu
 
Back
Top Bottom