Wakuu salaam,
Kuna mwamba ni mfanya biashara, hajui kusoma wala kuandika, japo katika hesabu za pesa huwezi mpunja.
Hivi karibuni alipoteza sim, sasa juzi kanipa simu yake mpya nimjazie namba, alichonishangaza zaidi ya namba 20 na majina, kataja toka kichwani.
Hakika nimeamini, ukipewa kilema unapewa na mwendo.