stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 16,657
- 24,883
Nimegundua ,kumbe wale wazee unakuta mtu ana miaka 70 anakula bata club,ukute aliweka hela UTT sasa ndio anajipongeza na vibinti vya chuo....Duh miaka ishirini kwani nina mkataba na muumba
Nimegundua ,kumbe wale wazee unakuta mtu ana miaka 70 anakula bata club,ukute aliweka hela UTT sasa ndio anajipongeza na vibinti vya chuo....Duh miaka ishirini kwani nina mkataba na muumba
Acha kumfundisha mwenzio tabia mbayaHapo kwenye bata uwe makini kuna mapaka ya mjini yananusa hayo na vile pesa huwa haijifichi.
Hongera kwa kujibana na kufanya saving. Wekeza
😂 na nyama choma sioAcha kumfundisha mwenzio tabia mbaya
Mwaya mtoa mada nitafute nikuonyeshe chimbo jipya la bia tamu 😜
Wewe maskini unayeanza kutajirika..uko kwenye Bata angalia usirudi na magonjwa uanze kuwa mteja WA wamarekani Hadi unakufa...afu hatuoni sabb ya ww kwenda kula Bata Bora uendeleze life Iloilo Hadi uwe na uchumi imara...!!!Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.
Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
- Watoto bado wadogo under 7.
- Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.
FUNZO;
Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Eee 😂😂😜😂 na nyama choma sio
😂 nyumbani wale misumari sioEee 😂😂😜
Hivi kuwekeza pesa utt ni kuanzia shingapiNimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.
Huo ndiyo ujingwa wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".
Huo ni ujinga usiomithilika.
Hongera Sana Mkuu, na hio ndo raha ya kuwa na Nidhamu ya kimatumiziMwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.
Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
- Watoto bado wadogo under 7.
- Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.
FUNZO;
Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Wale tyuuu!! Mbona waliweza kuvumilia kipindi cha savings 🤣🤣🤣😂 nyumbani wale misumari sio
Alafu nyie wa dar ndio mle nyama mnyamaze 😅Wale tyuuu!! Mbona waliweza kuvumilia kipindi cha savings 🤣🤣🤣
Kuinvest Utt mpaka upate gawio la kueleweka kila mwezi inabidi uweke mizigo haswa sasa wewe sijui umeweka kiasi gani mpaka uweke miguu juu mapema hivyoNimeinvest UTT AMIS mkuu
Nina uncle wangu Tajiri kinoma ana hisa Hadi makampuni ya nje huko anakula Bata hatarii anaendaga Venezuela na Brazil kula Bata na mademu wa hukoNimegundua ,kumbe wale wazee unakuta mtu ana miaka 70 anakula bata club,ukute aliweka hela UTT sasa ndio anajipongeza na vibinti vya chuo....
Hii inakuaje?ufafanuzi kidogoNimeinvest UTT AMIS mkuu
Nimeinvest UTT AMIS mkuu
Utaratibu wa kujiunga UTT naomba unijuze,namna ya kujisajili,namna ya kutoa fedha piaMwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.
Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
- Watoto bado wadogo under 7.
- Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.
FUNZO;
Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
YaapSasa mil 200 mtu anaweka utt huyo sio mwenzio. Sie bodaboda kiweka mil 25 utt ni counter productive kabisaaa