Nimeamini bila chenga wanaume tunaibiwa watoto

Hata baba yenu wa taifa si mtoto wa Chifu. Kuna watu walimsaidia tu Chifu kwa kuwa alikuwa na wake 22.

Ila ujiko wa ubaba wa Baba wa Taifa anaupata Chifu mpaka leo.
hehehe!! hapa sasa patachafuka.....
 
Na la Freeman Mbowe umewahi lisikia pia?
na la Amani Karume?
hili la baba wa Taifa ndo now nalisikia....any source ya kuaminka?
Freeman ni wa Nyerere....ili lipo waz

La karume ndio nalisikia leo......? Ndio vip yani!!#
 
"nothing makes a woman more confused than being in a relationship with a rich man who is extremely weak in bed."
"nothing makes a woman more confused than being in a relationship with a poor man who is extremely good in bed."
mambo ya mugabe hayo kaka si unamjua misemo yake?
 
"nothing makes a woman more confused than being in a relationship with a poor man who is extremely good in bed."
mambo ya mugabe hayo kaka si unamjua misemo yake?

This doesn't confuse more than the previous scenario!!!
 
49% ya wanaume Tanzania wanalea watoto ambao sio wa kwaoo....

Haijakaa sawa,,,,, ni hivi 49% ya wanaume Tanzania wamesingiziwa watoto, na wanawalea wakidhani ni wa kwao.
Naomba Mungu nisiwe kati ya hao 49%. Manake naweza fanya jambo baya na kubwa litakaloniharibia maisha.
 
Naomba Mungu nisiwe kati ya hao 49%. Manake naweza fanya jambo baya na kubwa litakaloniharibia maisha.
Kuna Mzee mmoja alilea mtoto wa kizungu kabisaa.
Anasema kitanda hakizai haramu.
Mke kakuza mimba bila kujua Kuwa siku alochepuka na rangi nyeupe ndo siku mimba ilinasa.

Inahitaj busara hekima na uvumilivu lasivo utatenda vitu nje UTU.
 
Kila mtu atabeba msalaba wake umesha ambiwa ni siri we kaa kimya mwache afe na kidonda chake cha roho
 
Kuna Mzee mmoja alilea mtoto wa kizungu kabisaa.
Anasema kitanda hakizai haramu.
Mke kakuza mimba bila kujua Kuwa siku alochepuka na rangi nyeupe ndo siku mimba ilinasa.

Inahitaj busara hekima na uvumilivu lasivo utatenda vitu nje UTU.
Kuna Second Master wa Minaki jina limenitoka lakini maarufu Hitler. Alihamia Sengerema kama HeadMaster. Mkewe alizalishwa mapacha waalimu wa kujitolea wa Kimarekani. Jamaa hakuacha mke na watoto aliwatunza.

Waliosoma Sengerema wanaweza kuwa wanamjua.
 
Aunt yangu aliniambia ukishamwambia mwanaume hii mimba ni yako akakubali basi hata kama utafahamu si ya kwake komaa mpaka unaingia kaburini. Huyo mwanamke hakufanyiwa kitchen party, kama mambo yameitika mpaka ndoa ya kanisani unafunua mafile ya nyuma anatafuta nini? anazidi kulikoroga kuwasiliana na mume wa mtu ambae ni baba halisi. Angefunga wote midomo akakomaa na ndoa yake.
Kwa maoni yako hapo juu inaonesha mume wako ajiandae kulea mtoto ambaye hatakuwa wake,maana inaonesha kumbe hata kozi ya kujua namna ya kuchiti mnapata!!Kazi ipo
 
Kweli mkuu hawa wanawake ni hatar sana. Ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akiliHii dhambi ndio inasababisha wanaume weng wakatae watoto sio km nasuuport kukataa watoto hapana ila wanasabb wanaume weng kuhus mimba sio yake kutokana na wanawake kuwa na waongo na kuwa ktk mahusiano na mtu zaid ya mmoja.Ni hatari sana. Mama ndio anajua baba wa mtoto ni nani na si babaWapunguze bei ya kupima DNA iwe km bei ya kupima typhoid au maralia ili kupunguza ulaghai. Watoto wakubambikiziwa
 
Kwa maoni yako hapo juu inaonesha mume wako ajiandae kulea mtoto ambaye hatakuwa wake,maana inaonesha kumbe hata kozi ya kujua namna ya kuchiti mnapata!!Kazi ipo
Ninajielewa, mpaka nimeamua kuolewa inamaana nimempenda, kamwe siwezi kumbambikia.
 
Kuna Second Master wa Minaki jina limenitoka lakini maarufu Hitler. Alihamia Sengerema kama HeadMaster. Mkewe alizalishwa mapacha waalimu wa kujitolea wa Kimarekani. Jamaa hakuacha mke na watoto aliwatunza.

Waliosoma Sengerema wanaweza kuwa wanamjua.
Hiyo inawezekana Mkuu,kwamfano sisi kwenye kabila letu(linapatikana kanda ya ziwa) hatukatai mtoto since wanasema kitanda hakizai haramu.Kwahiyo hata kama utajua Mkeo amezaa na mtu baki mtoto atabaki kuwa wako tu.
 
Back
Top Bottom