Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,314
Duuuhh, pole sana kwa yaliyo kupata. Ni kipindi kigumu kwako lakini vumilia hayo ni mapito.
Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Huyo Mchumba wako kalewa dini na usijute kwa kuachwa. Mtu ukishatoa mahari kwa binti au mwanamke tayari huyo ni mkeo halali. Mimi nashangaa kwa nini alikukatalia kukupa faraja na haki yako ya ndoa. Yeye ndie chanzo cha wewe kuanguka maana kama kweli anakupenda angekulinda kwa kukupa haki yako.
Ushauri wangu songa mbele huyo atakusumbua mbeleni.