Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,707
- 30,830
Mkuu uliwazaje kumuoa mkeo pasipo hata siku mmoja kufanya naye mapenzi,kwenye hili eneo ume Skipp kidogo.maana najua ni ngumu sana sawa sasa na wewe ukijumuisha kuwa alikuwa na tatizo hill ulipataje huo ujasiri wa kwenda kuoa huku ukijua fika unatatizo?